ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Usitishe watu wewe.amekufa amekufa tuu alifikiri atatawala milele asife??Mungu ametusaidia Sana.ngoja tupumue tutafute hela unazosemaNakukumbusha tu kuwa hata uwe mwema sana kuliko huyo unaemtukana kwenye hii comment yako,ardhini utaingizwa tu maana huko hapachagui, kwahiyo me sioni kama kifo kinaweza kutumika kama sababu ya wewe kujifariji.
Hapo ulipo huenda utakufa leo usiku wakati umelala,yes utakufa leo mkuu.
La msingi ni kutafuta pesa Ili kesho ikifika walau usizikwe kama mbwa, uzikwe kwa heshima kama huyo unaemtaja hapo.
Kuzikwa ni kuzikwa, don't be dramatic na usichukulie kitu personal pale mtu anapo express ya kwenye mtima wake.Nakukumbusha tu kuwa hata uwe mwema sana kuliko huyo unaemtukana kwenye hii comment yako,ardhini utaingizwa tu maana huko hapachagui, kwahiyo me sioni kama kifo kinaweza kutumika kama sababu ya wewe kujifariji.
Hapo ulipo huenda utakufa leo usiku wakati umelala,yes utakufa leo mkuu.
La msingi ni kutafuta pesa Ili kesho ikifika walau usizikwe kama mbwa, uzikwe kwa heshima kama huyo unaemtaja hapo.
Come out of your fantasy world.nipe uthibitisho wa haya uzungumzayo?
Stupid.Ujinga mtupu
Utaweza kuupigania uhai wako ili usife kabisa...?Stupid.
nipe uthibitisho mkuuCome out of your fantasy world.
Umezaliwa leo? Cheap &, childish question.
Tusiwe wanafiki kisa mtu amekufa na wapi nimesema sitakufa, usinilishe maneno.Utaweza kuupigania uhai wako ili usife kabisa...?
unajenga chuki hata Mahali pasipojengwa..! Acha chuki za kijinga wewe, Heshimu kazi ya Mungu, Mungu huwatwaa waovu na wema, lakini pia Mungu ni wa wote, wema na wabaya, ili mradi tu wana mwili!!
Unajenga chuki kwa waliokufa???
Wewe hutakufa...!?
Si kazi yangu, you can't drag me to your stupid levels.nipe uthibitisho mkuu
huoni kuwa ww ndio unaishi kwenye fantasy kwa kuamini usiyoyaona katika kile kilichojijenga akilini kwako
9 barabara ya mwenge,1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Qwy, hivi David Mwangosi aliuawa ktk utawala wa nani? Kutawala bila mauwaji ni ngumu sana na huwezi fanikisha lolote.Tusiwe wanafiki kisa mtu amekufa na wapi nimesema sitakufa, usinilishe maneno.
Issue ni lile uaji huko linakooza liendelee kuoza na kuliwa na funza, unavuna ulichopanda hivyo madhila aliyosababishia watu na kujiona mungu mtu acha tuendelee kumsiliba kwa maneno.
Wewe unaumia maneno tu, fikiria ndugu wa waliouawa wanaumia vipi mpaka muda huu, fikiria walioachwa na majeraha au walioachwa na ulemavu nao si binadamu.
Unalifikiria katili linalooza lakini haufikirii madhila aliyosababishia watu simply tu kwa kutofautiana naye kiitikadi, hypocrisy at it's highest level.
Unamaneno ya makufuru ambayo hata wewe yanakuhusu, na pengine unaona ni kama hayakuhusu kwa sababu ya kiburi cha uzima ulonao hapo siyo?Tusiwe wanafiki kisa mtu amekufa na wapi nimesema sitakufa, usinilishe maneno.
Issue ni lile uaji huko linakooza liendelee kuoza na kuliwa na funza, unavuna ulichopanda hivyo madhila aliyosababishia watu na kujiona mungu mtu acha tuendelee kumsiliba kwa maneno.
Wewe unaumia maneno tu, fikiria ndugu wa waliouawa wanaumia vipi mpaka muda huu, fikiria walioachwa na majeraha au walioachwa na ulemavu nao si binadamu.
Unalifikiria katili linalooza lakini haufikirii madhila aliyosababishia watu simply tu kwa kutofautiana naye kiitikadi, hypocrisy at it's highest level.
1. He sacrificed his own life for the people of the nation's survival.
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Basi sio kazi yako ku Quote watu unaowapinga bila uthibitisho wa hoja zako.Si kazi yangu, you can't drag me to your stupid levels.
I call spade a spade, if it touches you that's not my fault.