Pongezi kwa Serikali awamu ya tano chin ya Rais marehemu JPM kwa kazi nzuri ya kujenga masoko mazuri yenye miundo mbinu yote yanayohitaji na wafanyabiasha.

Leo kwa mara ya kwanza nilitembea soko la kisutu. Kweli kazi imefanyika sasa tunawajibu wa kulitunza ili lengo litimie .

Hamna msongamano nafasi ni kubwa ya kupanga biashara . Hakika hongera sana. Tumepiga hatu
 
Mtawala aliyeturudisha miaka 50 ya ukoloni! Kiongozi
Mtawala aliyeturudisha kwenye utumwa
Mtawala aliyetufanya tuelewe maana halisi ya udikteta
Mtawala muuaji wa wananchi wake
Mtawala aliyetufundisha kuwa kuwa hakukuwa na sababu ya kupiga kura kuchagua viongozi
Mtawala aliyethibitisha ukondoo wa raia wa nchi ya tanzania.
 
ELIMU
ELIMU BUREE
 
Akumbukwe kwa kukataza maendeleo kwenye majimbo ya upinzani. Haya aliyasema mwenyewe. Kwa hiyo mnaweza kuhukumu ni mtu wa namna gani
 
Kumdungua TL
 
Pamoja na kutokufuata utawala wa sheria, kuminya demokrasia na kukumbatia baadhi ya watenda maovu kama akina Sabaya, Makonda, ect. Alichukizwa na watumishi wa serikali kuwanyanyasa wananchi hata wapigaji wa pesa za wananchi makusudi kama hawa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).

Nimemaliza kulipa deni langu tena pasipo kupata punguzo la kodi kama mama Mhe. Rais alivyoagiza mwezi wa nane, mwezi wa tisa sikukatwa cha ajabu mshahara wa Oktoba wameanza tena makato. Wewe unamkumbuka JPM kwa mazuri yepi ukiweka pembeni mabaya yake?
 
Inakuwaje wanaJF!

Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.

Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.

Pumzika mwana!
 
Mie kinachonifurahisha ni jinsi alivyowatuliza wale walijikuta keki ya taifa ndio haki yao..wanavyolialia mmoja baada ya mwingine kila siku inanipa a high of its kind...dj walete waletee tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…