Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hapana bwashee
Kasi yenu ya kushiriki matendo ya kifisadi na serikali dhalimu ya ccmUmawashwa na nini?
Kachimbe shimo pale hifadhi ya burigi ujizikeKasi yenu ya kushiriki matendo ya kifisadi na serikali dhalimu ya ccm
Magufuli alikuwa anasikilizwa na watu wenye akili dunia nzima. Hadi baadhi ya raia wa mataifa ya Ulaya walikuwa wanatamani wapewe kwa muda aongoze mataifa yao.Ulikuwa unasikilza wewe
Umeona eh... Kuna type ya watu ndo wanampenda.. na wanajijuaUlikuwa unasikilza wewe
Ili chadema muendeleze ufisadi?Kachimbe shimo pale hifadhi ya burigi ujizike
Naelewa na ndo maana nlisema nakaa kimachale manake huwez jua ndo breed ile ileWasukuma wa asili ya usukumani ni watu wazuri sana sema huyu ni kutoka kwa Michombero
Wewe ni kiswaswadu tuIli chadema muendeleze ufisadi?
We ni mgonjwa, alafu bado unatema dawaIli chadema muendeleze ufisadi?
Nimekuelewa sana mkuuNaelewa na ndo maana nlisema nakaa kimachale manake huwez jua ndo breed ile ile
Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app
Mafisadi mnafurahia sana kifo cha Magufuli
Mafisadi utumieni huu muda vizuri, huko mbeleni mtakuja kupigwa pin la kufa mtu.Wewe ni kiswaswadu tu
Kama alivyopigwa jiwe?Mafisadi utumieni huu muda vizuri, huko mbeleni mtakuja kupigwa pin la kufa mtu.
Kwani Mungu ni fisadi?Mafisadi mnafurahia sana kifo cha Magufuli
Ukifuatilia utagundua kuwa ni mfumo WALIOFANYA uhalifu ule baada ya kujua hujuma waliyomfanyia na wakawa na uhakika kuwa havhomoki na Afya imeshaanza kuzorota.Na walikwapua 1.5trillion usisahau
Kama ufisadi ulifanyika chini yake na yeye hakukemea hizo tabia chafu basi tutamuita fisadi pia.Ukifuatilia utagundua kuwa ni mfumo WALIOFANYA uhalifu ule baada ya kujua hujuma waliyomfanyia na wakawa na uhakika kuwa havhomoki na Afya imeshaanza kuzorota.
Lakini JPM katika uhai wake na afya yake jamani tumtendee na kusemea Kwa haki yule mtu hakuwahi kupenda dhulma na rushwa na kuiba Mali za umma.
Yule mtu alikua na madhaifu yake kwenye kusimamia Demokrasia hasa baada ya kuona wapinzani walikua wanatumiwa na matajiri kutaka kumhujumu Kwa kutishia maandamano na kukwamisha jitihada zake.
Aliamini Upinzani wa aina ya Dr. Slaa wa kukataa Ufisadi muda wote .
Lakini kwamba JPM angeweza kuruhusu trail. 1.5 zikafichwa nje ya nchi ,hapana tusijenge Taifa la watu wanaoamini katika Rushwa. Ni lazima tukubali kuwa palitokea Rais asiyependa Rushwa na ufisadi. Rais aliyewachukia wezi na wanaotumia vibaya Mali za umma.
Hata Nyerere walimsingizia kuwa alichukua pesa akaanzisha Kiwanda Cha Tata kule India . Wakidai Hata Neno tata Lina asili ya kule Musoma. Ulikua ni uongo wa kitaalam . Cleopa Msuya wakasema yeye alianzisha Kiwanda Cha Toyota DCM kule India. Yote walikua wanamvunja nguvu na kudhoofisha kundi Fulani ili wananchi waamini katika utawala dhaifu unaojifanya kula na kupuliza.
Kuna mwanasiasa yeye alijipambanua kuwa angepata uraisi basi angekua ni kazi na Bata.
Wewe huna akili timamuMafisadi mnafurahia sana kifo cha Magufuli
Usihangaike na zombie, mpe brains tuKama ufisadi ulifanyika chini yake na yeye hakukemea hizo tabia chafu basi tutamuita fisadi pia.
Unyama wa kina Sabaya alikiri kuwa alikuwa anayafanya yote kwa kutumwa na mteule wake.
Wewe hapo unaanzaje kumtetea huyo mtu?
Ujinga mzigo, sema sikulaumu maana ndo umri wako ulivyo, akina Sylvester Rwegasira unawajua? akina Amina Chifupa unawajua? akina Deo Filikunjombe unawajua? niendelee nisiendelee? Saa8 ndo kitu gani kwa hao?