Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Ameninyima increment ambayo ni haki yangu kisheria kwa miaka mitano yote akiwa madarakani. Ingekuwa nchi nyingine ungeweza kuipeleka serikali mahakamani kwa kukiuka mkataba!!!He is My sons's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Afadhali umesema your hero, for me mwamba alikuwa rais wa ovyo zaidi kuwahi kutokea dunian.Rlp my hero
Aliyejenga hizo nyumba ni Raisi wa hovyo? Basi wewe utakua Brain zero au Brain less.Afadhali umesema your hero, for me mwamba alikuwa rais wa ovyo zaidi kuwahi kutokea dunian.
japo sina taarifa, ila hizo nyumba ni kama za National Housing, unapangishwa na unalipa kila mweziwatazigawa bure? (usipuuze hili swali, nijibu kama una taarifa)
Mods Moderator kichwa cha habari kimeguuzwa na mtu.Mradi huu ulianza mwaka 2016, utagharimu bil 60 za kitanzania. Ni mmoja ya miradi itayosaidia watu kuondokana na tatizo la makazi.
Vipi waliokuwa wakazi Magomeni kota kabla ya huu mradi watasahau?
Leo waziri Mkuu alitembelea kukagua huu mradiView attachment 1758546
Alimwambia yule msimamizi wa soko kwamba kama soko hakina choo basi uee unakunya nyumbani kabisa ππππ that creature was something else.Tutamisi yale masuti yake makubwa na kula mahindi barabarani bila kumsahau kauli zake za kebehi, ubabe na majigambo. Labda kiingereza chake πππ