Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Hapati Kura yangu
 
Mimi pia Nina timu ya wapiga kura zaidi ya 20,hatumpigii ng'o.Bora tuipe kura ACT Wazalendo au CDM.
Magufuli hahitaji kura ya mtu kuwa rais,yeye anahitaji tume ya uchaguzi tu.Ana uzoefu wa kushindwa huyu hivyo hatishiki
 
Magufuli hahitaji kura ya mtu kuwa rais,yeye anahitaji tume ya uchaguzi tu.Ana uzoefu wa kushindwa huyu hivyo hatishiki
This time tunamtoa nishai,tunaenda na ACT Wazalendo+/CDM.Upo upande gani?Unaunga mkono wizi wa kura?
 
This time tunamtoa nishai,tunaenda na ACT Wazalendo+/CDM.Upo upande gani?Unaunga mkono wizi wa kura?
Mkuu Mimi Sina mpango wa kupiga kura,Ila Kama Kuna mpango wowote wa kuitoa ccm madarakani kwa nguvu,count me in
 
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Kura yangu ataipata kwa wizi
 
Back
Top Bottom