Je utanunua Mkoa gani iwapo Tanzania itauzwa kwa Mnada?

Je utanunua Mkoa gani iwapo Tanzania itauzwa kwa Mnada?

Nyumbi hii bombi hii!😁
Kule Kuna Uranium itakayo nifanya niunde vinu vya kurusha Maroketi Kwa wazalamo nikilipa kisasi Kwa ex wangu mwajuma ndala mbofu,😂
Kingine nitarudisha wangoni kwao Mpumalanga Kwa Zulu Natal wakawe vibarua kwenye mashamba ya zabibu Kwa kaburu!
Aaaaagh Watani zangu Wasukuma niliwasahau najua mmelowea hapo Ruvuma na mifugo yenu nawaapia nikishanunua huo mkoa nitawarudisha na Boeing 780 mpaka Chattle International airport pamoja na mifugo yenu
Sipendi ujinga Mimi alaaaaaaaa!
Shabhaaaaash!😁😂
Islamabad!
😁😁😅😅😂
Ila Alshaba wa Mozambique watakuwa wanakuzingua sana
 
Nyumbi hii bombi hii![emoji16]
Kule Kuna Uranium itakayo nifanya niunde vinu vya kurusha Maroketi Kwa wazalamo nikilipa kisasi Kwa ex wangu mwajuma ndala mbofu,[emoji23]
Kingine nitarudisha wangoni kwao Mpumalanga Kwa Zulu Natal wakawe vibarua kwenye mashamba ya zabibu Kwa kaburu!
Aaaaagh Watani zangu Wasukuma niliwasahau najua mmelowea hapo Ruvuma na mifugo yenu nawaapia nikishanunua huo mkoa nitawarudisha na Boeing 780 mpaka Chattle International airport pamoja na mifugo yenu
Sipendi ujinga Mimi alaaaaaaaa!
Shabhaaaaash![emoji16][emoji23]
Islamabad!
[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji23]
Watu wa Mpitimbi hatutakuelewa ooooh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ooooh wee haya, tena saiv tutatumia wakunyumba mwuyitu Tavavili, sio super feo huyo Mbena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
daaaa mnachukua Tavavili kumsapoti wa kunyumba au sio umetisha ama kweli uzalendo huanzia ku nyumbi mweee!
😂😅😅😅😂
 
daaaa mnachukua Tavavili kumsapoti wa kunyumba au sio umetisha ama kweli uzalendo huanzia ku nyumbi mweee!
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
Yeaaaaah charity begins at home. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee itakuwa bora maana Bukoba itagombaniwa sana huko ughaibuni..mtajuta wamatumbi!
#TheAfricanDubai
 
Back
Top Bottom