Je, utapeli unafanyika ndani ya Matawi ya Benki?

Je, utapeli unafanyika ndani ya Matawi ya Benki?

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Habari;

Jana nilienda na mteja wangu mmoja kwa ajili ya kufanya taratibu za kupata mkopo katika tawi moja la benki ya NMB.

Kufika nilikuta matangazo mengi sana yakitahadharisha juu ya Utapeli wa Biashara ya Madini pamoja nakubadili dola feki.

Kwanza nilishtuka na kujiuliza je ni kwamba huu utapeli unafanyika ndani ya mabenki au ni kila mahali?Kwa nini tangazo liko NMB je linawahusu wastaafu wa serikalini ambao wengi wamekuwa ni wahanga wa hii michezo?

Anyway utapeli upo tuchukue tahadhari.
 
Siku izi watu wanabadili sana dola kimagendo, na madini feki yamejaa mitaani
 
Back
Top Bottom