Je utaratibu upoje ili upate passport ikiwa imekupoyea?

Je utaratibu upoje ili upate passport ikiwa imekupoyea?

fundi msati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
219
Reaction score
92
Habari zenu wana jamvi,

Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine
Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza shukrani
 
Tengeneza police lost report
Nenda katangaze kwenye magazeti ya lugha ya kiswahili na kiingereza
Mengine nenda ofisini kwao
 
Back
Top Bottom