fundi msati JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 219 Reaction score 92 Jul 19, 2025 #1 Habari zenu wana jamvi, Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza shukrani
Habari zenu wana jamvi, Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza shukrani
MWANAHARAMU JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 5,350 Reaction score 13,622 Jul 19, 2025 #2 Tengeneza police lost report Nenda katangaze kwenye magazeti ya lugha ya kiswahili na kiingereza Mengine nenda ofisini kwao
Tengeneza police lost report Nenda katangaze kwenye magazeti ya lugha ya kiswahili na kiingereza Mengine nenda ofisini kwao