AJABAINISHAMaana kuna mdau amesema yeye kapeleka cheti sehemu usika ajabainisha ni polisi au tra lakini sasa iyo ipoje naona kama ni hivyo utakua utaratibu mpya ama wajuzi tujuzane kunitoa kwenye sinto fahamu
Mone talkMaana kuna mdau amesema yeye kapeleka cheti sehemu usika ajabainisha ni polisi au tra lakini sasa iyo ipoje naona kama ni hivyo utakua utaratibu mpya ama wajuzi tujuzane kunitoa kwenye sinto fahamu
Kila mwezi kivipi? Kwani mwezi uliopita utaratibu ulikuaje?Sio mimi mkuu hila ndy nimeshangzwa utaratibu kila mwezi wana badili
Sawa sahivi wanahakiki kwanza ndo wanakupa leseniKwenye miezi ya kalibuni na maanisha kabla ya kutaka cheti kuna issue nyingine walisema apo nimeisahau kidogo