Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwa wanaojua kuwa cheo cha naibu waziri mkuu hakimo kwenye katiba yetu, wanahoji kunani ikulu hadi inavunja katiba? Je rais amemteua huyu mwanangu ili kumuandaa Majaliwa kuachia ngazi na Biteko kuchukua mikoba? Je anamuandalia mkwe wake Mchengerwa barabara ya kuwa waziri mkuu?
Je, imekuwaje Mchengerwa apelekwe maliasili na utalii ili asimamie miradi ya waarabu wa mamamkwe wake? Je wateule wake wengine wana udhu au ni kwa vile walipiga sana domo kuunga mkono dubai?
Je wewe unasemaje ikiwa ni njia ya kumshauri rais mama?