GE2025 Je uteuzi wa mgombea ndani ya CCM ni wa kupendeleana au ni utaratibu wa muda mrefu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MTAZANIA

Member
Joined
May 28, 2025
Posts
28
Reaction score
47
Wapo wanaoikosoa CCM kwa kile kinachoonekana kuwa ni "uteuzi usio wa kidemokrasia" wa mgombea urais kwa 2025. Lakini swali la msingi ni: Huu ni upendeleo au ni utaratibu wa muda mrefu ndani ya chama?

Historia inaonyesha wazi: Nyerere mwenyewe alitumia ushawishi wake kumteua
Ally Hassan Mwinyi na mzee Mkapa

2015, tuliona jinsi mzee Mkapa alimpendekeza Magufuli – bila upinzani mkali ndani ya chama.
Leo, Kikwete anatajwa tena kumpendekeza Samia. Je, kuna jipya hapa?

Viongozi wastaafu wamekuwa na nguvu kubwa sana ndani ya CCM katika kupendekeza mgombea. Huu ni utamaduni wa chama, si jambo la leo.

Na kuhusu makundi? Si ya leo pia. Mwaka 2015, makundi yalivuruga mchakato hadi mzee Lowassa alihama. Tofauti ya mwaka huu ni sura mpya tu, si mfumo.

Kuna maoni mengi sana kuhusu hili Kuna baadhi ya watu wanasema ni udhaifu wa demokrasia ndani ya chama wengine wanasema ni njia ya chama kulinda umoja na mwelekeo wake?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Tutafika tu
 
Attachments

  • 20250725_210313.jpg
    20250725_210313.jpg
    256.9 KB · Views: 36
Wapo wanaoikosoa CCM kwa kile kinachoonekana kuwa ni "uteuzi usio wa kidemokrasia" wa mgombea urais kwa 2025. Lakini swali la msingi ni: Huu ni upendeleo au ni utaratibu wa muda mrefu ndani ya chama?

Historia inaonyesha wazi: Nyerere mwenyewe alitumia ushawishi wake kumteua
Ally Hassan Mwinyi na mzee Mkapa

2015, tuliona jinsi mzee Mkapa alimpendekeza Magufuli – bila upinzani mkali ndani ya chama.
Leo, Kikwete anatajwa tena kumpendekeza Samia. Je, kuna jipya hapa?

Viongozi wastaafu wamekuwa na nguvu kubwa sana ndani ya CCM katika kupendekeza mgombea. Huu ni utamaduni wa chama, si jambo la leo.

Na kuhusu makundi? Si ya leo pia. Mwaka 2015, makundi yalivuruga mchakato hadi mzee Lowassa alihama. Tofauti ya mwaka huu ni sura mpya tu, si mfumo.

Kuna maoni mengi sana kuhusu hili Kuna baadhi ya watu wanasema ni udhaifu wa demokrasia ndani ya chama wengine wanasema ni njia ya chama kulinda umoja na mwelekeo wake?
muulize johnthebaptist ndio vibaka wa ccm wanajua
 
CCM hawataki uchaguzi ndani na nje ya chama uzuri ufalme umeanza kufitinika
 
Nyerere hakuwahi kumpendekeza mwinyi ila Salim Ahmed Salim
 
Wapo wanaoikosoa CCM kwa kile kinachoonekana kuwa ni "uteuzi usio wa kidemokrasia" wa mgombea urais kwa 2025. Lakini swali la msingi ni: Huu ni upendeleo au ni utaratibu wa muda mrefu ndani ya chama?

Historia inaonyesha wazi: Nyerere mwenyewe alitumia ushawishi wake kumteua
Ally Hassan Mwinyi na mzee Mkapa

2015, tuliona jinsi mzee Mkapa alimpendekeza Magufuli – bila upinzani mkali ndani ya chama.
Leo, Kikwete anatajwa tena kumpendekeza Samia. Je, kuna jipya hapa?

Viongozi wastaafu wamekuwa na nguvu kubwa sana ndani ya CCM katika kupendekeza mgombea. Huu ni utamaduni wa chama, si jambo la leo.

Na kuhusu makundi? Si ya leo pia. Mwaka 2015, makundi yalivuruga mchakato hadi mzee Lowassa alihama. Tofauti ya mwaka huu ni sura mpya tu, si mfumo.

Kuna maoni mengi sana kuhusu hili Kuna baadhi ya watu wanasema ni udhaifu wa demokrasia ndani ya chama wengine wanasema ni njia ya chama kulinda umoja na mwelekeo wake?
Mm nitamshangaa sana MSAJILI tena sikuzote kwamba haya ya kishenzi ya kukiuka katiba ya chama cha MAPINDUZI(CCM)hv hakuyaona,hv kweli macho ya msajili huwa yanaona madhaifu ya CHADEMA peke yake?Msajili wetu je ana AKILI TIMAMU?au kawekwa mwehu ndani ya ofisi ya usajili nchini Tanzania?CCM imemuweka mgombea Uraisi mwezi January kinyume na ibara ya 38 ya katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kifungu kidogo cha 2,je msajili hakuwaambia CCM kwamba kufanya hivyo ni kuvunja katiba je msajili Yuko sawasawa kichwani mwake?
Uonezi huu wote Unaofanywa na MSAJILI bwana Mutungi Francis kwa vyama hasa CHADEMA kila mtu anaona na watanzania wana hasira sana zinazosubiri mlipuko mkubwa mithili ya bomu la nyuklia.HAKI ilimzaa mtoto akamwita AMANI na ikawa furaha kwa watu wote. kamwe AMANI hawezi kuwa na furaha kama baba yake (HAKI )atatoweka tufahamu hilo.
 
Back
Top Bottom