Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu!

Israeli commander killed in Lebanon, Israel says​

The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon.

It's the first combat death Israel has announced inside Lebanon, and the first we've heard from Israel after Hezbollah reported clashes in border towns.

Captain Eitan Itzhak Oster, 22, a squad commander in the "Egoz" unit, was killed during combat, the IDF said.

Nb: Ukiona mpaka wanatoa taarifa ujue................
 
Toka zamani, ni vijana wadogo wengi ambao ni vijana huku TZ wako Shule wanaingia jeshini huko Israel, kupata mafunzo ya jkt ya Israel ni lazima ukishafika utuuzima...wana vijana wengi sana wenye weledi wako jeshini na ni viongozi wa units na operation mbalimbali...uzoefu wanao.
 
Ukisikia unit kivita inaweza kuwa ni section ya watu 8-12 ama ukisikia Squard inawezza kuwa watu 12-16 chini ya koplo. Huyo dogo aweza kuwa koplo anayeongoza kikundi kidogo kabisa
 
Ni Captain
 
12 hadi 26 huwa inakuwa chini ya Sergeant or Staff Sergeant .
Koplo mara nyingi ni wakati wa training, wakati wa vita wanakuwa wanahakikisha discipline inafuatwa lakini sidhani kama hupewa section kuongoza. Naweza nikaelemishwa zaidi
 
Sgt ni mtu wa utawala, chakula, mapumziko hamasa nk.
Utotoni nilifundishwa huko kwenye U -JAKATA kwamba section ni ya koplo. na askar 24- 48 ni patuni ambavyo hua chini ya lieutenant
 
Ungefanya marejeo ya notes zako mkuu.
Pia, nadhani japa mazingatio na wakati wa vita au operations za kijeshi.
 
🤣🤣🤣🥰😍
3387.jpg
 
Back
Top Bottom