N nassa Member Joined May 8, 2012 Posts 22 Reaction score 2 Sep 14, 2012 #1 Samahan wana jf naomba kuuliza je ile veet dawa ya kuondoa vinyweleo ina madhara kwa mtumiaji?
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Sep 14, 2012 #2 mh leo naona kila ninapoingia naona GIZA tuu... naona majanga
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 709 Sep 14, 2012 #3 BAGAH said: mh leo naona kila ninapoingia naona GIZA tuu... naona majanga Click to expand... majanga majanga,mi naona kama napishana na sredi za maana vile
BAGAH said: mh leo naona kila ninapoingia naona GIZA tuu... naona majanga Click to expand... majanga majanga,mi naona kama napishana na sredi za maana vile
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 404 Sep 14, 2012 #4 Mkuu kitu unapaka nywele zinatoka kwa hesabu za cheke chea tu hii kitu Ni balaa hauko mbali na cancer ya ngozi
Mkuu kitu unapaka nywele zinatoka kwa hesabu za cheke chea tu hii kitu Ni balaa hauko mbali na cancer ya ngozi
M Madoido Senior Member Joined Jan 24, 2011 Posts 134 Reaction score 15 Sep 14, 2012 #5 Da e bwana, mimi nimetumia sana na nahisi ina madhara,especially kama unatumia sehemu za siri, muwasho na hofu ya kansa
Da e bwana, mimi nimetumia sana na nahisi ina madhara,especially kama unatumia sehemu za siri, muwasho na hofu ya kansa