Je, vijeba hawa watafurukuta Kombe la dunia? Ronaldo miaka 41 na Messi miaka 39!

Je, vijeba hawa watafurukuta Kombe la dunia? Ronaldo miaka 41 na Messi miaka 39!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Je kwenye soka umri ni namba tu kama ilivyo kwenye mahusiano? Je Ronaldo(41) na Messi(39) bado wana cha kuonesha na kuwakosha mashabiki kiukweli kabisa au watabebwa na majina tu bila kuonesha soka safi la ushindani?

Je wamewazibia tu vijana wengine ambao walipaswa kupewa nafasi kuliko vijeba hawa! Super maoni yako.

1781182358108.png
 
Je kwenye soka umri ni namba tu kama ilivyo kwenye mahusiano? Je Ronaldo(41) na Messi(39) bado wana cha kuonesha na kuwakosha mashabiki kiukweli kabisa au watabebwa na majina tu bila kuonesha soka safi la ushindani? Je wamewazibia tu vijana wengine ambao walipaswa kupewa nafasi kuliko vijeba hawa! Super maoni yako.
Wote wanawez kufany jamb bd na iman
 
Wameangaliwa wasifu wao na mchango wao kwenye timu , hata wasipo cheza uwepo wao unaamsha amsha kwa mashabiki na wachezaji
Nadhani wamepewa heshima tu, hasa namna ya kuwabeba ili kuboresha record zao. Kwa sasa rekodo zao zitasomeka wameshiriki makombe ya dunia sita mfululizo!! Hiyo rdkodi kuivunja siyo mchezo!!
 
Wanaweka historia na kusambaza uzoefu pamoja na kuleta mvuto wa mashindano. Messi & Ronaldo sio wale tena lakini kuna moments zikitokea basi unahesabu tu ni goli, kuna Ile class ya kwenye baadhi ya maeneo uwanjani bado wanayo wao tu...
Upo sahihi
 
Noma sana, mechi 104, mwezi mzima ma kidogo tunacheki boli tuu... watu wa boli mwaka huu ni burudani tuu
Kabisa kabisa yaani hapa leo bafana tuone wanajitutumua vipi dhidi ya mexico...je home grown talents can keep up with world class talents au ndio tuhesabu hasara mapema
 
Labda messi ila Ronaldo analeta amsha amsha na yupo specific kwaajili ya kupiga penati na kusababishia wapinzani penati mchezo unapokua mgum
 
Kabisa kabisa yaani hapa leo bafana tuone wanajitutumua vipi dhidi ya mexico...je home grown talents can keep up with world class talents au ndio tuhesabu hasara mapema

Binafsi sijafuatilia Mexico wapo vipi, lakini Bafana Bafana, hawana namna zaidi ya kukomaa.
 
Binafsi sijafuatilia Mexico wapo vipi, lakini Bafana Bafana, hawana namna zaidi ya kukomaa.
Wakaze buti kweli kweli wasilete tantalila hapa watu wanasaka dollar million 50 so undava undava na technical ability.

Mie nasu iria kuona jimsi wadhungu wakatavyo deal na attacking transitions za senegal maana ndjo ilikuwa silaha yao kuu wakati wa afcon
 
Je kwenye soka umri ni namba tu kama ilivyo kwenye mahusiano? Je Ronaldo(41) na Messi(39) bado wana cha kuonesha na kuwakosha mashabiki kiukweli kabisa au watabebwa na majina tu bila kuonesha soka safi la ushindani? Je wamewazibia tu vijana wengine ambao walipaswa kupewa nafasi kuliko vijeba hawa! Super maoni yako.
Ronaldo na Messi wapo kibiashara zaidi
 
Back
Top Bottom