mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Wote wanawez kufany jamb bd na imanJe kwenye soka umri ni namba tu kama ilivyo kwenye mahusiano? Je Ronaldo(41) na Messi(39) bado wana cha kuonesha na kuwakosha mashabiki kiukweli kabisa au watabebwa na majina tu bila kuonesha soka safi la ushindani? Je wamewazibia tu vijana wengine ambao walipaswa kupewa nafasi kuliko vijeba hawa! Super maoni yako.
Nadhani wamepewa heshima tu, hasa namna ya kuwabeba ili kuboresha record zao. Kwa sasa rekodo zao zitasomeka wameshiriki makombe ya dunia sita mfululizo!! Hiyo rdkodi kuivunja siyo mchezo!!Wameangaliwa wasifu wao na mchango wao kwenye timu , hata wasipo cheza uwepo wao unaamsha amsha kwa mashabiki na wachezaji
Upo sahihiWanaweka historia na kusambaza uzoefu pamoja na kuleta mvuto wa mashindano. Messi & Ronaldo sio wale tena lakini kuna moments zikitokea basi unahesabu tu ni goli, kuna Ile class ya kwenye baadhi ya maeneo uwanjani bado wanayo wao tu...
Burudani ianze sasa ni mwendo wakucheki fabo tuuu......
Kabisa kabisa yaani hapa leo bafana tuone wanajitutumua vipi dhidi ya mexico...je home grown talents can keep up with world class talents au ndio tuhesabu hasara mapemaNoma sana, mechi 104, mwezi mzima ma kidogo tunacheki boli tuu... watu wa boli mwaka huu ni burudani tuu
Kabisa kabisa yaani hapa leo bafana tuone wanajitutumua vipi dhidi ya mexico...je home grown talents can keep up with world class talents au ndio tuhesabu hasara mapema
Wakaze buti kweli kweli wasilete tantalila hapa watu wanasaka dollar million 50 so undava undava na technical ability.Binafsi sijafuatilia Mexico wapo vipi, lakini Bafana Bafana, hawana namna zaidi ya kukomaa.
Kwakuwa ni timu Messi sioMessi anaweza kufurukuta Ronaldo apumzike tuu
Ronaldo na Messi wapo kibiashara zaidiJe kwenye soka umri ni namba tu kama ilivyo kwenye mahusiano? Je Ronaldo(41) na Messi(39) bado wana cha kuonesha na kuwakosha mashabiki kiukweli kabisa au watabebwa na majina tu bila kuonesha soka safi la ushindani? Je wamewazibia tu vijana wengine ambao walipaswa kupewa nafasi kuliko vijeba hawa! Super maoni yako.