Roger Milla kwenye World cup ya 1990 akiwa na miaka 38 alitupia goli 4
Kisha World cup ya 1994 akiwa na miaka 42 aliweka mpira kambani,
Mpaka leo Milla anashikilia rekodi ya Oldest player to ever score in a World Cup,
Naamini Messi na CR7 bado wana uwezo wa kufanya maajabu kwenye hii WC