Nimeamua kuuliza swali hili kwa wanajukwaa hili baada ya kufanya tafakari mbili .
Mosi nilimsikiliza Mkuu wa Majeshi mstaafu Venance Mabeyo akisema masaa machache kabla ya hayati Dr.Pombe Magufuli kupumzika kwa amani siku hiyo asubuhi aliomba aitiwe baba Paroko wake Kama sikosei anaitwa Makubi, kama haitoshi akaomba na Kardinali Pengo waje kumsalia na kumpa mpaka wa wagonjwa.
Vile vile wakati wa Mazishi yake aliyekuja kuendesha ibada ile ni Askofu Severine Niwemugizi wa jimbo la Ngara.
Nirejee kidogo kwenye Kumbu Kumbu zangu Askofu Niwemugizi alikosoa vikali sera za Hayati Magufuli hadi kufikia hatua ya kuitwa na kuhojiwa Uraia wake kati ya 2017 to 2018. Funzo la 1.
Maaskofu hawana kinyongo wala kisasi ni watumishi wa Mungu ndiyo maana Niwemugizi alisafiri toka Ngara hadi Chato kumzika hayati Magufuli tuige mioyo yao.Funzo la 2.
Kama tunawasikiliza wakati wa hatari tuwasikilize pia wanapotoa ushauri wao na kuufanyia kazi na muhimu zaidi duniani sisi binadamu ni wasafiri hivyo hatuna budi kuchukuliana haijalishi una madaraka na Mamraka kiasi gani ? Ipo siku dunia hii utaiacha na utarudi kwa Muumba wako.Ni hayo tu.