kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kazi yenu kuandika andika tu Mbowe akisema mtoke kwenye maandamano mna mbwela mbwela mnamuachia yeye na mtoto wake!Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii, uwepo wa vyama vya kisiasa hapa nchini ni halali na vinapaswa kuendelea kulelewa Ili vikue, Kwa lengo la kutaka kuendelea kuleta maendeleo nchini.
Hayo maandamano tuliwaachia hao mapolisi kuandamana Kwa niaba yetuKazi yenu kuandika andika tu Mbowe akisema mtoke kwenye maandamano mna mbwela mbwela mnamuachia yeye na mtoto wake!
Mbona mbowe na mwanawe mbona walitoka hawakuwaona polisi wacha utetezi wa kisaliti unafikiri kwa uoga huo CCM unaweza kuitoa kwa haya maandishi yako!Hayo maandamano tuliwaachia hao mapolisi kuandamana Kwa niaba yetu
Wewe kama ni mkazi wa Jiji la Dar, utakubaliana nami, Kwa kuwa uliona namna Polisi wote toka mikoani walivyojaa jijini Dar na kuanza kuandamana wakiwa na silaha za kivita, utadhani nchi yetu ipo vitani, wakiwa na farasi wakiongozwa na mbwa wao "wakizurura" jijini Dar
Kwa nyumbu wote, ambao akili zimeshikiliwa na mbowe nao kubaki na mafuvu tu, hawawezi kuexploit hoja iliyopo hapo. Hivyo hao nawapotezea tu.Hivi na wewe unaweza kujiita kuwa umechangia hoja kweli??😳
Ilitegemewa comment kama hii kutoka kwa upinde....🥱🥱🥱Samia na shetani ni kitu kimoja
Huyo Mbowe na mwanaye unaowataja, je Jeshi la Polisi liliwaruhusu waandamane au liliwakamata Kwa madai ya "kitoto" kuwa wanavuruga amani ya nchi??😳Mbona mbowe na mwanawe mbona walitoka hawakuwaona polisi wacha utetezi wa kisaliti unafikiri kwa uoga huo CCM unaweza kuitoa kwa haya maandishi yako!
Walionyesha msimamo wa anachokisema ndicho anachosimamia!Huyo Mbowe na mwanaye unaowataja, je Jeshi la Polisi liliwaruhusu waandamane au liliwakamata Kwa madai ya "kitoto" kuwa wanavuruga amani ya nchi??😳
Wako Wengi saaana sana, Jana nilikua na kiongozi wanamuita "m-NEC" dah Jamaa anaongea shit balaa wakati kuna siku nilimuona anapiga makofi kama mjingaHivi majuzi nimekutana na kada kindakindaki wa CCM anasema moyo wake umevunjika sana kuendelea kuamini CCM ni asset tena
jiulize kwanini haya yote yanatokea kwenye uchaguzi wa ndani wa chadema tu?Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii, uwepo wa vyama vya kisiasa hapa nchini ni halali na vinapaswa kuendelea kulelewa Ili vikue, Kwa lengo la kutaka kuendelea kuleta maendeleo nchini.
Uwepo Kwa vyama vya upinzani nchini ni muhimu sana Kwa kuwa serikali inabidi ipokee mawazo mbadala Kwa lengo la kujisahihisha Kwa lengo la kutaka kuleta maendekeo ya nchi yetu.
Kwa namna ya mambo yanavyoendelea hapa nchini, inaelekea kuwa uwepo wa vyama vya upinzani nchini, inaonekana kama maadui na wanafanyiwa kila aina ya hila, Ili vifutike kabisa katika ardhi ya nchi yetu!
Hivi vitendo la watu kutekwa na baadhi ya hao wahanga kukutwa wameuawa, nadhani ni Moja ya mikakati ya serikali hii ya CCM, Kwa lengo la kutaka kuwaogopesha raia wa nchi hii, Ili waone kuwa kujiunga na vyama vya upinzani hapa nchini ni kuhatarisha maisha yao
Hivi tujiulize ni kwanini wanaotekwa wote, hakuna wa kutoka Kwenye CCM Wala kutoka Kwenye vyama vidogo vya upinzani, bali ni kutoka Kwenye chama kikuu Cha upinzani nchini Cha CHADEMA pekee??😳
Ipo mifano hai ya karibuni inayoweza kuthibitisha haya madai yangu.
Kitendo Cha kutekwa mchana kweupe Kwa kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao na baadaye mwili wake kukutwa ameuawa huko Ununio na baada ya hapo kujitokeza Rais wa nchi kusema kuwa hicho kitendro ni kibaya mno na anataka uchunguzi wa haraka sana kutoka Jeshi la Polisi na wamletee taarifa ya kina Ili wajulikane ni kina nani waliofanya unyama huo.
Viongozi wa CHADEMA, akina Soka na wenzake wametekwa zaidi ya mwezi mmoja hivi sasa, wananchi hatuelezwi upelelezi unavyoendekea
Hivi sasa ni mwezi mmoja kamili, wananchi wa nchi hii hawajaelezwa maendeleo ya uchunguzi wa kifo Cha Ali Kibao na kutekwa Kwa akina Soka unavyoendelea na umefikia wapi.
Inaelekea kuwa chama Cha CCM na serikali yake wanatumia mkakati wa kuwaogopesha wananchi Ili wasiweze kujiunga na vyama vya upinzani hapa nchini, hususani wasijiunge na CHADEMA
Kumetolewa wito na Chama Cha siasa Cha CHADEMA, balozi mbalimbali za nje ya nchi za nje na wanaharakati mbalimbali, kuwa iundwe Tume huru ya uchunguzi, Kwa kuwa hao wanaotaka Tume huru iundwe, hawana Imani na Tume ya kuchunguza kutoka vyombo vya usalama vya hapa nchini, Kwa kuwa wao vyombo vya usalama hapa nchini ni miongoni ya watuhumiwa wakuu wa uovu unaotokea hapa nchini hivi sasa
Lakini inaelekea wito huo wa kuunda Tume huru ya uchunguzi, unaelekea kuwa umepuuzwa na serikali hii ya CCM.
Kutokana na hali inavyoendelea hapa nchini, inaelekea kuwa chama Cha CCM na serikali yake, vinafanya Kila juhudi kutaka kuuwa mfumo wa vyama vingi nchini, ambao upo kihalali Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu na badala yake wanataka urejee mfumo wa chama kimoja uliokuwepo hapo awali
Nchi imejaa dhuluma sana hiiHivi sasa ni mwezi mmoja kamili, wananchi wa nchi hii hawajaelezwa maendeleo ya uchunguzi wa kifo Cha Ali Kibao na kutekwa Kwa akina Soka unavyoendelea na umefikia wapi.
Nchi imejaa dhuluma sana hii.Hivi sasa ni mwezi mmoja kamili, wananchi wa nchi hii hawajaelezwa maendeleo ya uchunguzi wa kifo Cha Ali Kibao na kutekwa Kwa akina Soka unavyoendelea na umefikia wapi.
Nadhani mkuu walikubali ilivwasinyimwe mikopo ya mshirika ya fedha ya Kimataifa!Huko vijijini ndio Hali mbaya zaidi ukiwa uko upande wa upinzani unaonekana mchawi.Yaani kwa ufupi Tanzania hasa viongozi walivikubali shingo upande Mabadiliko ni Lazima,Wazee wetu walitembea kwa punda,Ngamia na kwa miguu!Hivi Sasa kuna usafiri wa kina namna.Mabadiliko ni Lazima wapende,wasipende.Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii, uwepo wa vyama vya kisiasa hapa nchini ni halali na vinapaswa kuendelea kulelewa Ili vikue, Kwa lengo la kutaka kuendelea kuleta maendeleo nchini.
Uwepo Kwa vyama vya upinzani nchini ni muhimu sana Kwa kuwa serikali inabidi ipokee mawazo mbadala Kwa lengo la kujisahihisha Kwa lengo la kutaka kuleta maendekeo ya nchi yetu.
Kwa namna ya mambo yanavyoendelea hapa nchini, inaelekea kuwa uwepo wa vyama vya upinzani nchini, inaonekana kama maadui na wanafanyiwa kila aina ya hila, Ili vifutike kabisa katika ardhi ya nchi yetu!
Hivi vitendo la watu kutekwa na baadhi ya hao wahanga kukutwa wameuawa, nadhani ni Moja ya mikakati ya serikali hii ya CCM, Kwa lengo la kutaka kuwaogopesha raia wa nchi hii, Ili waone kuwa kujiunga na vyama vya upinzani hapa nchini ni kuhatarisha maisha yao
Hivi tujiulize ni kwanini wanaotekwa wote, hakuna wa kutoka Kwenye CCM Wala kutoka Kwenye vyama vidogo vya upinzani, bali ni kutoka Kwenye chama kikuu Cha upinzani nchini Cha CHADEMA pekee??😳
Ipo mifano hai ya karibuni inayoweza kuthibitisha haya madai yangu.
Kitendo Cha kutekwa mchana kweupe Kwa kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao na baadaye mwili wake kukutwa ameuawa huko Ununio na baada ya hapo kujitokeza Rais wa nchi kusema kuwa hicho kitendro ni kibaya mno na anataka uchunguzi wa haraka sana kutoka Jeshi la Polisi na wamletee taarifa ya kina Ili wajulikane ni kina nani waliofanya unyama huo.
Viongozi wa CHADEMA, akina Soka na wenzake wametekwa zaidi ya mwezi mmoja hivi sasa, wananchi hatuelezwi upelelezi unavyoendekea
Hivi sasa ni mwezi mmoja kamili, wananchi wa nchi hii hawajaelezwa maendeleo ya uchunguzi wa kifo Cha Ali Kibao na kutekwa Kwa akina Soka unavyoendelea na umefikia wapi.
Inaelekea kuwa chama Cha CCM na serikali yake wanatumia mkakati wa kuwaogopesha wananchi Ili wasiweze kujiunga na vyama vya upinzani hapa nchini, hususani wasijiunge na CHADEMA
Kumetolewa wito na Chama Cha siasa Cha CHADEMA, balozi mbalimbali za nje ya nchi za nje na wanaharakati mbalimbali, kuwa iundwe Tume huru ya uchunguzi, Kwa kuwa hao wanaotaka Tume huru iundwe, hawana Imani na Tume ya kuchunguza kutoka vyombo vya usalama vya hapa nchini, Kwa kuwa wao vyombo vya usalama hapa nchini ni miongoni ya watuhumiwa wakuu wa uovu unaotokea hapa nchini hivi sasa
Lakini inaelekea wito huo wa kuunda Tume huru ya uchunguzi, unaelekea kuwa umepuuzwa na serikali hii ya CCM.
Kutokana na hali inavyoendelea hapa nchini, inaelekea kuwa chama Cha CCM na serikali yake, vinafanya Kila juhudi kutaka kuuwa mfumo wa vyama vingi nchini, ambao upo kihalali Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu na badala yake wanataka urejee mfumo wa chama kimoja uliokuwepo hapo awali
Yaani wote tuwe sampuli ya kina Lukas Mwashambwa!Haiwezekani.Wenyewe wanakuja na majibu mapesi kua watu wanajiteka mbona hatuoni watu wao au watoto wao wakitekwa au watekaji wanawachagua CDM mana ndio targeted kwa upinzani inasikitisha haiwezekani tukajenga Taifa kwa wote kusifia tu muda wote
Mawazo mgando!Kazi yenu kuandika andika tu Mbowe akisema mtoke kwenye maandamano mna mbwela mbwela mnamuachia yeye na mtoto wake!
Utakuwa wa kufugwa wewe!Kwa nyumbu wote, ambao akili zimeshikiliwa na mbowe nao kubaki na mafuvu tu, hawawezi kuexploit hoja iliyopo hapo. Hivyo hao nawapotezea tu.
Upinde, hebu rudia ulichosema?!!!!Utakuwa wa kufugwa wewe!
Wewe ndio upinde, maaana si vapour za Dr uchwara,njaa Kali hadi akili zinakuhama karibu mirembe,upewe dozi.Upinde, hebu rudia ulichosema?!!!!