Je, vitendo vya kutekana na baadhi ya Wahanga kuuawa ni mkakati wa CCM kutaka kuua upinzani nchini ili usiwepo kabisa?

HUO NI MKAKATI WA RAIA FEKI WALIO JIMILIKISHA TANGANYIKA CHINI YA KIBARAKA WAO BUSHIRI SAMIA
 
Wewe kipara kipya, hao unaowatetea wao wanakula Kwa urefu wa kamba zao, wewe wanakuachia manyoya tuu😳
Mimi namtetea mbowe tu dhidi ya wasaliti wengi wanaojifanya wana uchungu na chadema ila sitetei mtu mwingine au kikundi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…