Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 972
- 441
Habari za kazi Wakuu, ninaandaa orodha ya njia na vituo vya daladala Dar es Salaam, na ningependa kupata msaada kutoka kwa wanaozifahamu hizi route.
Nimekusanya taarifa za njia hizi:
Swali langu:
Je, orodha hizi za vituo na njia ni sahihi? Kama kuna kituo nilichokikosea, nimekikosa, au nimekiweka sehemu isiyo sahihi, naomba mnisaidie kukirekebisha.
Pia, kama kuna vituo ambavyo kwa kawaida vinatumika na abiria lakini si vituo rasmi, naomba mnitajie pia.
Muhimu: Nafasi nilizoacha hazimaanishi kwamba kuna vituo viwili vilivyokosekana; nimeacha nafasi tu kuonyesha kwamba kuna kituo/kituo kadhaa ambavyo sijavifahamu. Idadi halisi inaweza kuwa zaidi au chini.
Mtu yeyote anae yafahamu vizuri maeneo haya, naomba mnisaidie kuthibitisha route na vituo vyake. 🙏
Asanteni.
Nimekusanya taarifa za njia hizi:
- Buzastendi → Kawe kupitia Keko
- Buzastendi → Kawe kupitia Buguruni
- Buzastendi → Makumbusho kupitia Keko
- Buzastendi → Makumbusho kupitia Buguruni
- Buzastendi To Kawe via Keko
- Bus stops
- Abiola, Njia panda ya Mwinyi, Chama, Davis Corner, Tandika Vitanda, Foma (Magorofani), Bandari, Stereo, Mwembe yanga, Garage, Usalama, Serengeti, Maduka Mawili, Tameco, Keko, Veta, Machinga Complex, Ilala Boma, Msimbazi Center, Njia panda ya Kigogo, Mikumi, Magomeni Kanisani, Mkwajuni, Kinondoni Studio, Kinondoni Mwanamboka, Kinondoni Manyanya, Kinondoni B, Kinondoni, Biafra, Morocco, Ubalozi, shoppers (Kisiwa), Chama (Tanesco), Feza, Mwalimu Nyerere, Warioba (Palm village), _________, _________, Mikocheni B, ________, __________, Kawe.
- Buzastendi To Kawe via Buguruni
- Bus stops
- Abiola, Njia panda ya Mwinyi, Chama, Davis Corner, Tandika Vitanda, Foma (Magorofani), Bandari, Stereo, Mwembe yanga, Garage, Usalama, ________, _______, sokota, Veterinary, Tazara, Bakhresa, buguruni, ________, ________, Rosana________, ________, Amana, _______, _______, Ilala Boma, Msimbazi Center, Njia panda ya Kigogo, Mikumi, Magomeni Kanisani, Mkwajuni, Kinondoni Studio, Kinondoni Mwanamboka, Kinondoni Manyanya, Kinondoni B, Kinondoni, Biafra, Morocco, Ubalozi, shoppers (Kisiwa), Chama (Tanesco), Feza, Mwalimu Nyerere, Warioba (Palm village), _________, _________, Mikocheni B, ________, __________, Kawe.
- Buzastendi To Makumbusho via Keko
- Bus stops
- Abiola, Njia panda ya Mwinyi, Chama, Davis Corner, Tandika Vitanda, Foma (Magorofani), Bandari, Stereo, Mwembe yanga, Garage, Usalama, Serengeti, Maduka Mawili, Tameco, Keko, Veta, Machinga Complex, Ilala Boma, Msimbazi Center, Njia panda ya Kigogo, Mikumi, Magomeni Kanisani, Mkwajuni, Kinondoni Studio, ________, _________, Komakoma, Mwanyamara A, Mwanyamara Hospitali (Sokoni), ________, ________, Makumbusho.
- Buzastendi To Makumbusho via Buguruni
- Bus stops
- Abiola, Njia panda ya Mwinyi, Chama, Davis Corner, Tandika Vitanda, Foma (Magorofani), Bandari, Stereo, Mwembe yanga, Garage, Usalama, ________, _______, sokota, Veterinary, Tazara, Bakhresa, buguruni, ________, ________, Rosana________, ________, Amana, _______, _______, Ilala Boma, Msimbazi Center, Njia panda ya Kigogo, Mikumi, Magomeni Kanisani, Mkwajuni, Kinondoni Studio, ________, _________, Komakoma, Mwanyamara A, Mwanyamara Hospitali (Sokoni), ________, ________, Makumbusho.
Swali langu:
Je, orodha hizi za vituo na njia ni sahihi? Kama kuna kituo nilichokikosea, nimekikosa, au nimekiweka sehemu isiyo sahihi, naomba mnisaidie kukirekebisha.
Pia, kama kuna vituo ambavyo kwa kawaida vinatumika na abiria lakini si vituo rasmi, naomba mnitajie pia.
Muhimu: Nafasi nilizoacha hazimaanishi kwamba kuna vituo viwili vilivyokosekana; nimeacha nafasi tu kuonyesha kwamba kuna kituo/kituo kadhaa ambavyo sijavifahamu. Idadi halisi inaweza kuwa zaidi au chini.
Mtu yeyote anae yafahamu vizuri maeneo haya, naomba mnisaidie kuthibitisha route na vituo vyake. 🙏
Asanteni.