PreGE2025 Je, vyama vyote vya siasa Tanzania ni mali ya CCM isipokuwa CHADEMA tu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,212
Reaction score
4,676
Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.

Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).

Nchi ina vyama vya upinzani 19, ila vyama kumi 18 ni kama vipo chini ya mwanvuli wa CCM. Ni chama kimoja tu CHADEMA ambacho kimeonekana kuikosoa na kuikabiri vilivyo CCM kwenye nyanja zote za siasa.

Kwa lugha nyingine hivi vyama vingine 18 tunaweza kusema ni vyama vya kimfumo ambavyo CCM inaendelea kuvitumia ili kupata legitimacy kimataifa ya kuendelea kushika dola. Tunaweza pia kusema ni vyama vinavyo oteshwa na kusinyaa.

Je! CHADEMA pekee yake kitaweza kukomaa kupigania mageuzi ya kisiasa na kiutawala hapa Tanzania?

Je! tunaweza kusema hivi vyama vingine 18 ni vinatumika kama ngao ya CCM katika demokrasia ili kupata legitimacy ya kuendelea kushika dola?
 
Gentleman,
huo ni upotoshaji wa wazi ulioambatana na ushirikiana.

kwa mujibu wa katiba ya Tanzania,
vyama vyote vya siasa nchini ni mali ya umma wa waTanzania wote na si vinginevyo. Full stop 🐒
 
Hata huko CHADEMA CCM inamiliki asilimia kubwa ya hisa. Katiba iliandikwa wakati tuna chama kimoja na haiwezi kuruhusu chama kilichopo madarakani kunyanganywa dola
Kwamba hii ndio sababu hawataki katiba mpya ?
 
Ukisema vyama vyote ni kama vile kuna vyama vingi sana. Vyama viko 3 tu kwa sasa:-ccm, chadema na ACT. Vingine vyote vipo kwenye makaratasi tu. Kama ACT ni ccm B, kuna nn tena hapo?
 
Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.

Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).

Nchi ina vyama vya upinzani 19, ila vyama kumi 18 ni kama vipo chini ya mwanvuli wa CCM. Ni chama kimoja tu CHADEMA ambacho kimeonekana kuikosoa na kuikabiri vilivyo CCM kwenye nyanja zote za siasa.

Kwa lugha nyingine hivi vyama vingine 18 tunaweza kusema ni vyama vya kimfumo ambavyo CCM inaendelea kuvitumia ili kupata legitimacy kimataifa ya kuendelea kushika dola. Tunaweza pia kusema ni vyama vinavyo oteshwa na kusinyaa.

Je! CHADEMA pekee yake kitaweza kukomaa kupigania mageuzi ya kisiasa na kiutawala hapa Tanzania?

Je! tunaweza kusema hivi vyama vingine 18 ni vinatumika kama ngao ya CCM katika demokrasia ili kupata legitimacy ya kuendelea kushika dola?
Uko sahihi sana, cdm wanatakiwa wasiyumbe maana ajenda yao ya mabadiliko ya kweli imeeleweka. Hata ccm wafanye nini kwa sasa mabadiliko ndio matakwa ya kizazi hiki.
 
ACT tangia Maalim seif hatutoke ni kama akielewi kinapigania nini, ubaridi ni mwingi sana kwao, sijui wamepatwa na nini maskini.
 
Uko sahihi sana, cdm wanatakiwa wasiyumbe maana ajenda yao ya mabadiliko ya kweli imeeleweka. Hata ccm wafanye nini kwa sasa mabadiliko ndio matakwa ya kizazi hiki.
Kwa hii mishale wanayoelekezewa wataweza kweli?
 
Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.

Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).

Nchi ina vyama vya upinzani 19, ila vyama kumi 18 ni kama vipo chini ya mwanvuli wa CCM. Ni chama kimoja tu CHADEMA ambacho kimeonekana kuikosoa na kuikabiri vilivyo CCM kwenye nyanja zote za siasa.

Kwa lugha nyingine hivi vyama vingine 18 tunaweza kusema ni vyama vya kimfumo ambavyo CCM inaendelea kuvitumia ili kupata legitimacy kimataifa ya kuendelea kushika dola. Tunaweza pia kusema ni vyama vinavyo oteshwa na kusinyaa.

Je! CHADEMA pekee yake kitaweza kukomaa kupigania mageuzi ya kisiasa na kiutawala hapa Tanzania?

Je! tunaweza kusema hivi vyama vingine 18 ni vinatumika kama ngao ya CCM katika demokrasia ili kupata legitimacy ya kuendelea kushika dola?
Umeongea kitu sahihi kabisa na ilibaki kidogo tu na CHADEMA ingekuwa Mali ya CCM kama asingeondoka yule mlanguzi asiyejielewa na asiye na huruma kwa waliompigania.
 
Chadema wataweza kweli kuvuka viunzi vya kisiasa wanavyowekewa na CCM?
 
Kwa hii mishale wanayoelekezewa wataweza kweli?
Hii mishle hata iwe mingi vipi, bado watatoboa maana ndio wamebaki na agenda ya wataka mabadiliko. Unakumbuka 2014 ACT ilivyoanza na moto na sasa imepoa? Unakumbuka watu kwenda kuunga juhudi, huku Magufuli akiifanyia hujuma za wazi, lakini bado ilibidi apore uchaguzi wa 2020 ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti? Hii mishale inaiimirisha zaidi, cha muhimu wasiiache agenda ya mabadiliko.
 
Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.

Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).

Nchi ina vyama vya upinzani 19, ila vyama kumi 18 ni kama vipo chini ya mwanvuli wa CCM. Ni chama kimoja tu CHADEMA ambacho kimeonekana kuikosoa na kuikabiri vilivyo CCM kwenye nyanja zote za siasa.

Kwa lugha nyingine hivi vyama vingine 18 tunaweza kusema ni vyama vya kimfumo ambavyo CCM inaendelea kuvitumia ili kupata legitimacy kimataifa ya kuendelea kushika dola. Tunaweza pia kusema ni vyama vinavyo oteshwa na kusinyaa.

Je! CHADEMA pekee yake kitaweza kukomaa kupigania mageuzi ya kisiasa na kiutawala hapa Tanzania?

Je! tunaweza kusema hivi vyama vingine 18 ni vinatumika kama ngao ya CCM katika demokrasia ili kupata legitimacy ya kuendelea kushika dola?
Jibu ni ndiyo, vyama vyote isipokuwa CHADEMA ya Lissu na Heche, vingine vyote vimewekwa na CCM, Msajili pia ni kada wa CCM na yupo pale kuumiza na kukiangamiza CHADEMA. Hawa wanaojiita INEC nao ni makada wa CCM. Mnategemea level playing field? Ndiyo maana Samia akisikia CHADEMA anaanza kujiharishia ovyo.
 
Katiba mpya ni tishio kwa mustakabali wa Taifa linaloitwa Tanzania🐼
Hakuna tishio la Katiba mpya, ni kwamba watawala ni waoga kwa sababu wanajua kukiwa na uchaguzi huru na wa haki CCM haiwezi kushinda. Walishasema Kabudi, Polepole, Bashiru na wengi tu. CCM hawana ubavu wa kuishinda CHADEMA.
 
Ilikuwa fununu ila sasa ndio imekuwa wazi kabisa, ndio maana CHademaambacho ndie mpinzani wa kweli Tz wanakutana na dhuluma mbaya kabisa!
 
Back
Top Bottom