Gentleman,Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.
Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).
Nchi ina vyama vya upinzani 19, ila vyama kumi 18 ni kama vipo chini ya mwanvuli wa CCM. Ni chama kimoja tu CHADEMA ambacho kimeonekana kuikosoa na kuikabiri vilivyo CCM kwenye nyanja zote za siasa.
Kwa lugha nyingine hivi vyama vingine 18 tunaweza kusema ni vyama vya kimfumo ambavyo CCM inaendelea kuvitumia ili kupata legitimacy kimataifa ya kuendelea kushika dola. Tunaweza pia kusema ni vyama vinavyo oteshwa na kusinyaa.
Je! CHADEMA pekee yake kitaweza kukomaa kupigania mageuzi ya kisiasa na kiutawala hapa Tanzania?
Je! tunaweza kusema hivi vyama vingine 18 ni vinatumika kama ngao ya CCM katika demokrasia ili kupata legitimacy ya kuendelea kushika dola?
Kwamba hii ndio sababu hawataki katiba mpya ?Hata huko CHADEMA CCM inamiliki asilimia kubwa ya hisa. Katiba iliandikwa wakati tuna chama kimoja na haiwezi kuruhusu chama kilichopo madarakani kunyanganywa dola
Uko sahihi sana, cdm wanatakiwa wasiyumbe maana ajenda yao ya mabadiliko ya kweli imeeleweka. Hata ccm wafanye nini kwa sasa mabadiliko ndio matakwa ya kizazi hiki.Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.
Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).
Nchi ina vyama vya upinzani 19, ila vyama kumi 18 ni kama vipo chini ya mwanvuli wa CCM. Ni chama kimoja tu CHADEMA ambacho kimeonekana kuikosoa na kuikabiri vilivyo CCM kwenye nyanja zote za siasa.
Kwa lugha nyingine hivi vyama vingine 18 tunaweza kusema ni vyama vya kimfumo ambavyo CCM inaendelea kuvitumia ili kupata legitimacy kimataifa ya kuendelea kushika dola. Tunaweza pia kusema ni vyama vinavyo oteshwa na kusinyaa.
Je! CHADEMA pekee yake kitaweza kukomaa kupigania mageuzi ya kisiasa na kiutawala hapa Tanzania?
Je! tunaweza kusema hivi vyama vingine 18 ni vinatumika kama ngao ya CCM katika demokrasia ili kupata legitimacy ya kuendelea kushika dola?
ACT tangia Maalim seif hatutoke ni kama akielewi kinapigania nini, ubaridi ni mwingi sana kwao, sijui wamepatwa na nini maskini.Ukisema vyama vyote ni kama vile kuna vyama vingi sana. Vyama viko 3 tu kwa sasa:-ccm, chadema na ACT. Vingine vyote vipo kwenye makaratasi tu. Kama ACT ni ccm B, kuna nn tena hapo?
Kwa hii mishale wanayoelekezewa wataweza kweli?Uko sahihi sana, cdm wanatakiwa wasiyumbe maana ajenda yao ya mabadiliko ya kweli imeeleweka. Hata ccm wafanye nini kwa sasa mabadiliko ndio matakwa ya kizazi hiki.
Waliobakia wanaongozwa na pandikizi la ccm (mwami Ruyagwa Zitto Zuberi Kabwe).ACT tangia Maalim seif hatutoke ni kama akielewi kinapigania nini, ubaridi ni mwingi sana kwao, sijui wamepatwa na nini maskini.
Umeongea kitu sahihi kabisa na ilibaki kidogo tu na CHADEMA ingekuwa Mali ya CCM kama asingeondoka yule mlanguzi asiyejielewa na asiye na huruma kwa waliompigania.Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.
Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).
Nchi ina vyama vya upinzani 19, ila vyama kumi 18 ni kama vipo chini ya mwanvuli wa CCM. Ni chama kimoja tu CHADEMA ambacho kimeonekana kuikosoa na kuikabiri vilivyo CCM kwenye nyanja zote za siasa.
Kwa lugha nyingine hivi vyama vingine 18 tunaweza kusema ni vyama vya kimfumo ambavyo CCM inaendelea kuvitumia ili kupata legitimacy kimataifa ya kuendelea kushika dola. Tunaweza pia kusema ni vyama vinavyo oteshwa na kusinyaa.
Je! CHADEMA pekee yake kitaweza kukomaa kupigania mageuzi ya kisiasa na kiutawala hapa Tanzania?
Je! tunaweza kusema hivi vyama vingine 18 ni vinatumika kama ngao ya CCM katika demokrasia ili kupata legitimacy ya kuendelea kushika dola?
Chadema wataweza kweli kuvuka viunzi vya kisiasa wanavyowekewa na CCM?Umeongea kitu sahihi kabisa na ilibaki kidogo tu na CHADEMA ingekuwa Mali ya CCM kama asingeondoka yule mlanguzi asiyejielewa na asiye na huruma kwa waliompigania.
Hadi huyu jamaa afe ndipo nchi itapata uponyajiNdio ROSTAM AZIZ AMENUNUA MAGARI YA CHAUMA KUFADHILI CHAMA ILI KUIDHOOFISHA CHADEMA
Hii mishle hata iwe mingi vipi, bado watatoboa maana ndio wamebaki na agenda ya wataka mabadiliko. Unakumbuka 2014 ACT ilivyoanza na moto na sasa imepoa? Unakumbuka watu kwenda kuunga juhudi, huku Magufuli akiifanyia hujuma za wazi, lakini bado ilibidi apore uchaguzi wa 2020 ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti? Hii mishale inaiimirisha zaidi, cha muhimu wasiiache agenda ya mabadiliko.Kwa hii mishale wanayoelekezewa wataweza kweli?
Katiba mpya ni tishio kwa mustakabali wa Taifa linaloitwa Tanzania🐼Kwamba hii ndio sababu hawataki katiba mpya ?
Jibu ni ndiyo, vyama vyote isipokuwa CHADEMA ya Lissu na Heche, vingine vyote vimewekwa na CCM, Msajili pia ni kada wa CCM na yupo pale kuumiza na kukiangamiza CHADEMA. Hawa wanaojiita INEC nao ni makada wa CCM. Mnategemea level playing field? Ndiyo maana Samia akisikia CHADEMA anaanza kujiharishia ovyo.Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.
Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).
Nchi ina vyama vya upinzani 19, ila vyama kumi 18 ni kama vipo chini ya mwanvuli wa CCM. Ni chama kimoja tu CHADEMA ambacho kimeonekana kuikosoa na kuikabiri vilivyo CCM kwenye nyanja zote za siasa.
Kwa lugha nyingine hivi vyama vingine 18 tunaweza kusema ni vyama vya kimfumo ambavyo CCM inaendelea kuvitumia ili kupata legitimacy kimataifa ya kuendelea kushika dola. Tunaweza pia kusema ni vyama vinavyo oteshwa na kusinyaa.
Je! CHADEMA pekee yake kitaweza kukomaa kupigania mageuzi ya kisiasa na kiutawala hapa Tanzania?
Je! tunaweza kusema hivi vyama vingine 18 ni vinatumika kama ngao ya CCM katika demokrasia ili kupata legitimacy ya kuendelea kushika dola?
Hakuna tishio la Katiba mpya, ni kwamba watawala ni waoga kwa sababu wanajua kukiwa na uchaguzi huru na wa haki CCM haiwezi kushinda. Walishasema Kabudi, Polepole, Bashiru na wengi tu. CCM hawana ubavu wa kuishinda CHADEMA.Katiba mpya ni tishio kwa mustakabali wa Taifa linaloitwa Tanzania🐼