Vyuma hivi...unaambiwa Ivory coast hawapo,unarudia tenaSenegal ni wazuri sana, ukitoa hizi nchi za Kiarabu Nigeria, Ivory Coast na Senegal wanatutoa kimaso maso
Duh, kwano Aguero ni majeruhi au hakubaliki tu ma kocha??Icard yupo aguero out
Niliowataja wote ni Albiceleste.Wakina nani wako vizuri mkuu? Germany? Hao wachezaji uliowataja ndo watashiriki kombe la dunia kupitia taifa moja au?
Hawakuwa na sifa ya kufika huko!Kumbe la dunia bila Italy daah
Haziivi na George sampaoliDuh, kwano Aguero ni majeruhi au hakubaliki tu ma kocha??
Vyuma hivi...unaambiwa Ivory coast hawapo,unarudia tena
Tiketi za vibanda umiza au.? [emoji3] [emoji3]SUBIRI LIGI ZIISHE
NINA TIKETI ZANGU HAPA USINIZINGUE
Icho kiduduwasha cha tatu kutoka mwisho kinafanya nini hapo.?Egypt
Senegal
Nigeria
Tanzania
Tunisia
Morocco
Kipi mkuu[emoji3] [emoji3]Icho kiduduwasha cha pili kutoka mwisho kinafanya nini hapo.?
TANZANIAKipi mkuu[emoji3] [emoji3]
Ipo nimeambiwa na mshikaji au kanipiga changa?TANZANIA
Hehee.. Mkuu hilo ni changa. Unataka kulazimisha chai kuwa Coca-cola.Ipo nimeambiwa na mshikaji au kanipiga changa?
Alaaa hahahaha nikajua tunaenda Urusi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hehee.. Mkuu hilo ni changa. Unataka kulazimisha chai kuwa Coca-cola.
Nadhani ataenda Domo peke ake.Alaaa hahahaha nikajua tunaenda Urusi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]