Je, vyombo vya habari vya kimagharibi vimesusia kombe la dunia Urusi??

Je, vyombo vya habari vya kimagharibi vimesusia kombe la dunia Urusi??

Kweli bana, miaka ya nyuma kuazia desemba/januari na kuendelea huwa kuna amsha amsha za hatari. Sasa mwaka huu duuuu yaani baada ya kama wiki 2-3 ndo nashtuka kuna wc.
 
Back
Top Bottom