Je, vyombo vya habari vya kimagharibi vimesusia kombe la dunia Urusi??

Je, vyombo vya habari vya kimagharibi vimesusia kombe la dunia Urusi??

Hapo nawaona Aljazeera sports/Bein Sports tu ndo wawatangaza.
 
Umenena kweli aisee..kombe la dunia halizungumziwi kabisa
 
hao warusi wenyewe wanazingua wabaguzi hao kombe lenyewe litadoda!!
 
Back
Top Bottom