Je vyombo vya usalama vimekuwa machawa au ni Uzalendo
1. Je utekaji unaweza kuwa uzalendo? Hasa kwa watu wasio na hatia
2. Kulinda watu ambao wanaiba kura na kushiriki wizi wa kura ni uzalendo?
3. Kuvizia viongozi wa upinzani bila sababu ni uzalendo?
4. Mashtaka ya uongo kwa wazalendo ni uzalendo?