Machawa kwa asili ama kwa kulambishwa asali,na matengenezo ya machawa kimfumo,kwa kuwanyima nafasi wazalendo na kutoa nafasi kwa machawa.Je vyombo vya usalama vimekuwa machawa au ni Uzalendo
1. Je utekaji unaweza kuwa uzalendo? Hasa kwa watu wasio na hatia
2. Kulinda watu ambao wanaiba kura na kushiriki wizi wa kura ni uzalendo?
3. Kuvizia viongozi wa upinzani bila sababu ni uzalendo?
4. Mashtaka ya uongo kwa wazalendo ni uzalendo?
Layer ya juu ya viongozi wana kadi za CCM hilo ndilo tatizoJe vyombo vya usalama vimekuwa machawa au ni Uzalendo