H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 Aug 7, 2025 #1 Utasikia mfia dini mmoja wa kiafrika akijigamba kuwa yeye ni mwana wa Yesu na Yesu ni Mungu wasiomwamini Yesu hawatauona ufalme wa Mungu/Mbinguni. Je ni kweli wasiomwamini yesu siyo watu wa Mungu?
Utasikia mfia dini mmoja wa kiafrika akijigamba kuwa yeye ni mwana wa Yesu na Yesu ni Mungu wasiomwamini Yesu hawatauona ufalme wa Mungu/Mbinguni. Je ni kweli wasiomwamini yesu siyo watu wa Mungu?
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,756 Reaction score 11,435 Aug 7, 2025 #2 Kwan ukiishi kusipokuamin chcht mkuu nayo n makosaa..😁
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Aug 7, 2025 #3 Subiri waje .
H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 Aug 7, 2025 Thread starter #4 edon66 said: Kwan ukiishi kusipokuamin chcht mkuu nayo n makosaa..😁 Click to expand... Changia nilichoandika mimi hapo juu au unataka kuanzisha uzi wako ndani ya uzi wangu??
edon66 said: Kwan ukiishi kusipokuamin chcht mkuu nayo n makosaa..😁 Click to expand... Changia nilichoandika mimi hapo juu au unataka kuanzisha uzi wako ndani ya uzi wangu??
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 8, 2025 #5 Za kuambiwa changanya na za kwako... Cc: Mahondaw
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,784 Reaction score 22,106 Aug 8, 2025 #6 Kumbuka pia dini zililetwa na akina Henry Morton Stanley na akina Tip Tip😂
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Aug 8, 2025 #7 Asyemuamini Yesu ni kafiri kabisa.Akitokea mtu anabisha,aje nimuoneshe kijiwe cha wavuta bangi akajiunge nao.
Asyemuamini Yesu ni kafiri kabisa.Akitokea mtu anabisha,aje nimuoneshe kijiwe cha wavuta bangi akajiunge nao.
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,624 Reaction score 12,206 Aug 8, 2025 #8 Utasikia mwanamke wa kiafrika "!mimi nalala na Yesu wangu moyoni" Utamaduni wa Kiyahudi na Africa wapi na wapi? Naomba tu jamani tujizatiti na utamaduni wetu, imani yetu ni muhimu. Haya majina ya ubatizo mnajua maana yake????
Utasikia mwanamke wa kiafrika "!mimi nalala na Yesu wangu moyoni" Utamaduni wa Kiyahudi na Africa wapi na wapi? Naomba tu jamani tujizatiti na utamaduni wetu, imani yetu ni muhimu. Haya majina ya ubatizo mnajua maana yake????