Je, Waafrika (Watanzania) tumekurupukia mambo?

Je, Waafrika (Watanzania) tumekurupukia mambo?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,945
Reaction score
4,827
Aje

Je Waafrika tumekurupukia mambo au nasi tunapaswa

Ukiangalia nchi za wenzetu masuala ya burudani kama vile muziki, mipira na mengineyo yalianza kuwa na nafasi kubwa kwao baada kupiga hatua kubwa za kimaendeleo ya kiuchumi, mapinduzi ya vilimo, mapinduzi ya viwanda
Rejea club kubwa nyingi duniani zimeanzishwa baada mwanzoni mwa 1900

Kwa stage tuliyokuwepo Africa ukilinganisha na kwa wenzetu utarud nyuma kama miaka 300 nyuma
Je ni wakati sahihi wa kupiga chini Simba na Yanga, na masuala ya miziki na kuanza safari ya kusaka maendeleo kwanza?
 
Hayo maendeleo utasaka hadi lini !?
We ukiona Simba na Yanga zinakupa headache unaachana nazo unafanya mambo mengine
 
Back
Top Bottom