R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,161 Jun 27, 2025 #1 Hellow! Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni, Leo bunge linavunjwa rasmi, Je, wao wataendelea kuwa wabunge? Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge! Karibuni 🙏
Hellow! Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni, Leo bunge linavunjwa rasmi, Je, wao wataendelea kuwa wabunge? Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge! Karibuni 🙏
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,298 Reaction score 72,863 Jun 27, 2025 #2 ..baadhi wameshajiunga na Ccm.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,161 Jun 27, 2025 Thread starter #3 JokaKuu said: ..baadhi wameshajiunga na Ccm. Click to expand... Nikidhani wao kwa kuwa ni special, Wataendelea kuwa wabunge Hadi pale bunge litaporejea Tena waungane na wengine.
JokaKuu said: ..baadhi wameshajiunga na Ccm. Click to expand... Nikidhani wao kwa kuwa ni special, Wataendelea kuwa wabunge Hadi pale bunge litaporejea Tena waungane na wengine.