Je, Wabunge Wasaliti 19 watang'olewa Bungeni?


Ha ha ha ha 😜😜😜

Unajitekenya na kucheka mwenyewe

Wale wadada wapo Sana mpaka 2025
 

Ukiwatoa wale means mpaka jaji mutungi aondoke

Huko tume ya uchaguzi ndio hatopona mtu coz wao ndio walipeleka majina Kwa spika

Unaona ni kazi rahisi hiyo?

Ile chain ina watu wengi wazito hakuna mtu kutoka pale bungeni
 
Na bila kuwaondoa hao covd19 haya maridhiano hayana maana yoyote ile

Chadema mnajikutaga bila nyie Yani inchi haiendi kabisa, au mna watu kibao ambao mkisema inchi haitawaliki kesho wanaingia road hahaha hahaha
 
Ukiwatoa wale means mpaka jaji mutungi aondoke

Huko tume ya uchaguzi ndio hatopona mtu coz wao ndio walipeleka majina Kwa spika

Unaona ni kazi rahisi hiyo?

Ile chain ina watu wengi wazito hakuna mtu kutoka pale bungeni
Mutungi na Mahera wamebakiwa na siku 7 tu
 
Unapopewa jambo usikurupuke tu kuandika hapa fikiria japo kidogo.
 
Ndio maana kesi iliahirishwa ili kupisha HUKUMU ya maridhiano, watafukuzwa mwezi wa 3.
 
Wapitie mlango wa uani kwa kuhongwa hela ( Ushahidi upo ) halafu avuliwe nguo mtu mwingine !

Chadema haikuwahi kuweka vikao vya kuteua wabunge wa viti maalum , wewe unajua na unaowatumikia wanajua .

Sasa subiri kidogo utaelewa
Kuna vitu nyinyi mnao jinasibu humu jukwaani as Chadema insiders hamvijui!.
Niliwahi kuwauliza humu Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?, kilichofuatia ni Baraza Kuu la Chadema kuubariki ukangaroo wa CC ya Chadema bila kufanya a due diligence majina yale yalifikaje NEC!. Nikauliza tena A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?

Si wengi mlikuwa mnajua kuwa Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani? na hata baada ya CC ya Chadema kuwafuta uanachama, juhudi za kuwabembeleza ziliendelea kwa kuwaita the ring leaders nje ya nchi kukaa nao vikao hotelini na kuwabembeleza wakubali kujitoa ikiwa ni pamoja na kuwatafutia kazi za maana tuu ughaibuni zinazolipa zaidi ya ubunge wa madafu, but very unfortunately the ring leader ni selfless person, yeye apate kazi nzuri aishi raha mustarehe, what about the rest?. Akamgomea!.

Niliwahi kusema kitu kumhusu huyu ring leader wa wabunge hawa 19 "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Ushauri huu wangu wa bure kwa Chadema bado uko valid Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa
P
 
Mzaha mkubwa sana! Bad joke, so to speak! Sidhani kama unaamini kwa dhati kwamba, kwa hali iliyokuwepo na iliyopo hata sasa, Chadema ilistahili kuhangaika na kosa la jinai la kughushi nyaraka za mchakato wa viti maalum vya ubunge. Chadema hii ambayo mwenyekiti wake alitengenezewa kesi ya ugaidi na mahakama ikatumika kubariki ushahidi wa kutengenezwa mbele ya macho ya raia na dunia nzima? Hivi jukumu la kufungua mashtaka kwenye kosa la jinai linalopelekea uvunjaji wa katiba ya nchi ni la chama cha siasa? Siyo DPP? Binafsi nimekuwa nikiamini kuwa bila mitandao ya kijamii kuaninika mwenendo wa shauri hilo in real time, na bila mabebaru kufuatilia kwa karibu, watuhumiwa wale wangepatikana na hatia! Mungu atujalie siku moja tukapata muda wa kuyarejea mambo haya kwa utulivu, ukweli na uwazi.
 
Usihangaike na Wasaka teuzi
 
Je wakiondolewa!?wengine watateuliwa upya!?

Yaani Rais atateua wengine!?
 
Hivi tafsiri sahihi ya maridhiano ni nini hasa?
 
Only way ya kuwaondoa wale wabunge ni CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabumge wa wa viti maalum
 
Only way ya kuwaondoa wale wabunge ni CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabumge wa wa viti maalum

How wapeleke wakati chadema hawatambui uchaguzi? Kwanza watambue uchaguzi ulikuwa huru na haki then ndio wafanye hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…