Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kwani hakuna wabunge wengine wa upinzani bungeni?Kwamba wakiondoka lazima waingie wengine?
Maana hakuna bunge bila hao wapinzani.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hakuna wabunge wengine wa upinzani bungeni?Kwamba wakiondoka lazima waingie wengine?
Maana hakuna bunge bila hao wapinzani.
Kwani hakuna wabunge wengine wa upinzani bungeni?Kwamba wakiondoka lazima waingie wengine?
Maana hakuna bunge bila hao wapinzani.
Kuna Dokezo kwamba Wabunge wale 19 Wasaliti, waliojiuza na kuapishwa na Job Ndugai kwenye eneo la Gereji ya Bunge, huenda Wakaondolewa Bungeni kwa vile waliingizwa kinyume cha Sheria, inadaiwa kwamba hawana tofauti na lile zuio la mikutano ya hadhara lililoondolewa hivi karibuni .
Taarifa zaidi zinasema kwamba Jambo hili la kuondolewa bungeni kwa Halima Mdee , Sophia Mwakagenda na wenzao NI SEHEMU YA MARIDHIANO baina ya CCM na CHADEMA, na kwamba utekelezaji wake waweza kuwa ndani ya siku chache zijazo.
Uwezekano wa Wasaliti hawa kufukuzwa Bungeni ni zaidi ya 100% , Hii ni kwa sababu waliingia kwa kufoji , hata ile KESI YAO WALIYOFUNGUA MAHAKAMANI inapinga kuvuliwa Uanachama wao tu , HAIHUSIANI NA UBUNGE , hivyo basi wakivuliwa ubunge bado wanayo nafasi ya kuendelea na kesi yao , na ikiwa watashinda basi watarejeshewa uanachama wao (japo uwezekano wa kushinda ni kama hakuna).
Usaliti ni laana, Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu, Laana ya Usaliti yaweza kukikumba hadi kizazi cha nne cha Mhusika .
INASIKITISHA SANA!
Kesi yao inapinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, kwahiyo inaweza kuendelea tu ili wapiganie uanachama wao , uanachama hauhusiani na Ubunge, ndio maana mimi pamoja na uanachama wangu wa Chadema lakini si Mbunge .
Kingine unachopaswa kukumbuka ni kwamba Wao ndio wameishitaki Chadema wakipinga kuvuliwa uanachama , kwa madai kwamba hawakupewa nafasi ya kusikilizwa.
Kingine unachotakiwa kukifahamu ni hiki ,kwenye maridhiano uongo , uzandiki na hila zote huwekwa kando , kinachoangaliwa ni Ukweli pekee , imebainika wazi kwamba mchakato wa kuwaapisha hawa kuwa wabunge ulikuwa batili , hakuna asiyejua , sasa ili kulinda Maridhiano ni lazima hawa ubatili wao uishe
Na bila kuwaondoa hao covd19 haya maridhiano hayana maana yoyote ile
Mutungi na Mahera wamebakiwa na siku 7 tuUkiwatoa wale means mpaka jaji mutungi aondoke
Huko tume ya uchaguzi ndio hatopona mtu coz wao ndio walipeleka majina Kwa spika
Unaona ni kazi rahisi hiyo?
Ile chain ina watu wengi wazito hakuna mtu kutoka pale bungeni
Ndio maana kesi iliahirishwa ili kupisha HUKUMU ya maridhiano, watafukuzwa mwezi wa 3.Kuna Dokezo kwamba Wabunge wale 19 Wasaliti, waliojiuza na kuapishwa na Job Ndugai kwenye eneo la Gereji ya Bunge, huenda Wakaondolewa Bungeni kwa vile waliingizwa kinyume cha Sheria, inadaiwa kwamba hawana tofauti na lile zuio la mikutano ya hadhara lililoondolewa hivi karibuni .
Taarifa zaidi zinasema kwamba Jambo hili la kuondolewa bungeni kwa Halima Mdee , Sophia Mwakagenda na wenzao NI SEHEMU YA MARIDHIANO baina ya CCM na CHADEMA, na kwamba utekelezaji wake waweza kuwa ndani ya siku chache zijazo.
Uwezekano wa Wasaliti hawa kufukuzwa Bungeni ni zaidi ya 100% , Hii ni kwa sababu waliingia kwa kufoji , hata ile KESI YAO WALIYOFUNGUA MAHAKAMANI inapinga kuvuliwa Uanachama wao tu , HAIHUSIANI NA UBUNGE , hivyo basi wakivuliwa ubunge bado wanayo nafasi ya kuendelea na kesi yao , na ikiwa watashinda basi watarejeshewa uanachama wao (japo uwezekano wa kushinda ni kama hakuna).
Usaliti ni laana, Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu, Laana ya Usaliti yaweza kukikumba hadi kizazi cha nne cha Mhusika .
INASIKITISHA SANA!
Kuna vitu nyinyi mnao jinasibu humu jukwaani as Chadema insiders hamvijui!.Wapitie mlango wa uani kwa kuhongwa hela ( Ushahidi upo ) halafu avuliwe nguo mtu mwingine !
Chadema haikuwahi kuweka vikao vya kuteua wabunge wa viti maalum , wewe unajua na unaowatumikia wanajua .
Sasa subiri kidogo utaelewa
Mzaha mkubwa sana! Bad joke, so to speak! Sidhani kama unaamini kwa dhati kwamba, kwa hali iliyokuwepo na iliyopo hata sasa, Chadema ilistahili kuhangaika na kosa la jinai la kughushi nyaraka za mchakato wa viti maalum vya ubunge. Chadema hii ambayo mwenyekiti wake alitengenezewa kesi ya ugaidi na mahakama ikatumika kubariki ushahidi wa kutengenezwa mbele ya macho ya raia na dunia nzima? Hivi jukumu la kufungua mashtaka kwenye kosa la jinai linalopelekea uvunjaji wa katiba ya nchi ni la chama cha siasa? Siyo DPP? Binafsi nimekuwa nikiamini kuwa bila mitandao ya kijamii kuaninika mwenendo wa shauri hilo in real time, na bila mabebaru kufuatilia kwa karibu, watuhumiwa wale wangepatikana na hatia! Mungu atujalie siku moja tukapata muda wa kuyarejea mambo haya kwa utulivu, ukweli na uwazi.Maadam kesi tayari iko mahakamani, nashauri hili tusilishabikie, kama kuna forgery yoyote, Chadema would have done the right thing to deal with forgery!.
Duh...!.
Naunga mkono hoja usaliti ni laana, ila sio kila usaliti ni laana!, kuna usaliti mwingine ni mpango wa Mungu kumtumia shetani ili Mungu aonyeshe uwezo wake, kama usaliti wa Yuda Iskariote The Role of Yuda Eskarioti Kwenye Ukombozi wa Dunia: Je, Yuda alaumiwe, alaaniwe au apongezwe?!
Pia ni kweli laana ya usaliti huweza kukikumba hadi kizazi cha 4, kitu watu wasichojua, ni laana ni karma!. Kitendo cha mashujaa walioipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, leo kuitwa wasaliti pia husababisha laana!. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
P
Usihangaike na Wasaka teuziMzaha mkubwa sana! Bad joke, so to speak! Sidhani kama unaamini kwa dhati kwamba, kwa hali iliyokuwepo na iliyopo hata sasa, Chadema ilistahili kuhangaika na kosa la jinai la kughushi nyaraka za mchakato wa viti maalum vya ubunge. Chadema hii ambayo mwenyekiti wake alitengenezewa kesi ya ugaidi na mahakama ikatumika kubariki ushahidi wa kutengenezwa mbele ya macho ya raia na dunia nzima? Hivi jukumu la kufungua mashtaka kwenye kosa la jinai linalopelekea uvunjaji wa katiba ya nchi ni la chama cha siasa? Siyo DPP? Binafsi nimekuwa nikiamini kuwa bila mitandao ya kijamii kuaninika mwenendo wa shauri hilo in real time, na bila mabebaru kufuatilia kwa karibu, watuhumiwa wale wangepatikana na hatia! Mungu atujalie siku moja tukapata muda wa kuyarejea mambo haya kwa utulivu, ukweli na uwazi.
Je wakiondolewa!?wengine watateuliwa upya!?Kuna Dokezo kwamba Wabunge wale 19 Wasaliti, waliojiuza na kuapishwa na Job Ndugai kwenye eneo la Gereji ya Bunge, huenda Wakaondolewa Bungeni kwa vile waliingizwa kinyume cha Sheria, inadaiwa kwamba hawana tofauti na lile zuio la mikutano ya hadhara lililoondolewa hivi karibuni .
Taarifa zaidi zinasema kwamba Jambo hili la kuondolewa bungeni kwa Halima Mdee , Sophia Mwakagenda na wenzao NI SEHEMU YA MARIDHIANO baina ya CCM na CHADEMA, na kwamba utekelezaji wake waweza kuwa ndani ya siku chache zijazo.
Uwezekano wa Wasaliti hawa kufukuzwa Bungeni ni zaidi ya 100% , Hii ni kwa sababu waliingia kwa kufoji , hata ile KESI YAO WALIYOFUNGUA MAHAKAMANI inapinga kuvuliwa Uanachama wao tu , HAIHUSIANI NA UBUNGE , hivyo basi wakivuliwa ubunge bado wanayo nafasi ya kuendelea na kesi yao , na ikiwa watashinda basi watarejeshewa uanachama wao (japo uwezekano wa kushinda ni kama hakuna).
Usaliti ni laana, Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu, Laana ya Usaliti yaweza kukikumba hadi kizazi cha nne cha Mhusika .
INASIKITISHA SANA!
Mutungi na Mahera wamebakiwa na siku 7 tu
Only way ya kuwaondoa wale wabunge ni CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabumge wa wa viti maalum