kwa wale wajuzi wa hii teknolojia ya uchawi je wachawi wanao uwezo wa kupekua documents zetu tunazokuwa tumezihifadhi mfano labda kuna namba za siri za ATM au m-pesa pindi wanapopata access ya kuingia vyumbani kwetu halafu kingine je wanao uwezo wa kusikia lugha za kishule hata kama hawana shule