manushiboy
Member
- Aug 3, 2011
- 34
- 9
jamani naombeni msaa wenu kuhusu nini cha kufanya maana nina tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu inakia kipindi nakaa hadi siku tano sita. Naombeni utatuzi wa tatizo hili asanteni
jamani naombeni msaa wenu kuhusu nini cha kufanya maana nina tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu inakia kipindi nakaa hadi siku tano sita. Naombeni utatuzi wa tatizo hili asanteni
Kunywa maji mengi,kula matunda na mboga mboga nyingi vilevile!!Habar wadau mim mkaz wa dar ninatatizo la kukosa choo limedumu kwa muda mrefu sana na nikipata basi huwa kigum sana nina vidonda vya tumbo pia nisaidien ushaur
Hii ndo.siri kubwa na ushauri wa bure.Huta pata ushauri huu hospitali but ndo muarobaini wa tatizo lako.
1:Anza kula ugali wa dona yaani unga wa mahindi yasiyo kobolewa
2:kama utakuwa na uwezo wasi jitahidi angalau mara moja kwa wiki kula mchanganyiko wa mchemsho wa mboga za majani zifuatazo(coliflower,brocoli,kabichi,biringanya isiyomenywa maganda,nyanya chungu,green beans,karoti isiyomenywa maganda,bamia ).Chemsha kwa moto wa wastani kwa dakika zisizo zidi kumi.lazima kibakie na ubichi ubichi.Tatizo lako ni kwamba unakosa fibre katika milo yako ambapo husababishwa na kukoboa nafaka na ukosefu wa matunda na mboga za majani.
Ukishindwa point namba mbili kwa sababu ya kipatobasi point ya kwanza ni muhimu zaidi itamaliza tatizo lako
Fuata ushauri huo upone na kuishi kwa furaha
Habar wadau mim mkaz wa dar ninatatizo la kukosa choo limedumu kwa muda mrefu sana na nikipata basi huwa kigum sana nina vidonda vya tumbo pia nisaidien ushaur
Mwoongezee na matunda mfano Papai japo kipande kwa siku mara moja au kila baada ya siku 1.
Chukua ukwaju kl1 uloweke kwenye maji kiasi na ukishalowana ukamue na uuchuje! hakikisha juisi yake iwe nzito!
dozi: kunywa glac1 kutwa mara3 kwa cku1 then utaleta feedback!