Je, wafahamu suluhusho la tatizo la kukosa choo?

Je, wafahamu suluhusho la tatizo la kukosa choo?

ushauri mzuri sana kwetu sote
Hii ndo.siri kubwa na ushauri wa bure.Huta pata ushauri huu hospitali but ndo muarobaini wa tatizo lako.
1:Anza kula ugali wa dona yaani unga wa mahindi yasiyo kobolewa
2:kama utakuwa na uwezo wasi jitahidi angalau mara moja kwa wiki kula mchanganyiko wa mchemsho wa mboga za majani zifuatazo(coliflower,brocoli,kabichi,biringanya isiyomenywa maganda,nyanya chungu,green beans,karoti isiyomenywa maganda,bamia ).Chemsha kwa moto wa wastani kwa dakika zisizo zidi kumi.lazima kibakie na ubichi ubichi.Tatizo lako ni kwamba unakosa fibre katika milo yako ambapo husababishwa na kukoboa nafaka na ukosefu wa matunda na mboga za majani.
Ukishindwa point namba mbili kwa sababu ya kipatobasi point ya kwanza ni muhimu zaidi itamaliza tatizo lako
Fuata ushauri huo upone na kuishi kwa furaha
 
Habar wadau mim mkaz wa dar ninatatizo la kukosa choo limedumu kwa muda mrefu sana na nikipata basi huwa kigum sana nina vidonda vya tumbo pia nisaidien ushaur

Tafuta Hamira na Kunywa Vikombe 7 na Utapata Choo Mara Moja:smile-big:
 
Chukua ukwaju kl1 uloweke kwenye maji kiasi na ukishalowana ukamue na uuchuje! hakikisha juisi yake iwe nzito!
dozi: kunywa glac1 kutwa mara3 kwa cku1 then utaleta feedback!

Mtoa mada ana vidonda vya tumbo...Ukwaju utamuumiza...
 
Pole sana mtoa mada,, ila tatizo la choo si kubwa sana la kuumiza kichwa,, unakula vizuri?? ni ke au me? kama ni ke vipi hali ya ujauzito??
Kuna mdau ameeleza vizuri hapo juu kuhusu diet ya vyakula vya kulainisha choo na matunda kama mapapai n.k

Vidonga vya tumbo jaribu kutumia HeligoKIT ambayo ni mchanganyiko wa dawa 3 za vidonda vya tumbo inaweza ikakusaidia pia achana na vitu vyenye acidi kama ukwaju, maembe mabichi, maharage nk
Pole
 
Pia waone watumishi wa MUNGU ili uombewe... all things are pocb be4 GOD
 
Pole sana mkuu naomba kula sana nyanya chungu zile chungu kabisa katika kila mlo wako usimenye,uwe unakula vinne kila siku na ukiweza uwe unakula supu yake kila asubuhi ukishindwa uni Pm nitakupa na mba za mama flani alinipa dawa kwani nilikuwaga na tatizo kama lako.
 
Tumia bidhaa za asili zilizotokana na mizizi,magome ya miti ,matunda na mazao ya bahari.
Zinaponya kuanzia chanzo cha tatizo na kupona kabisa .

Kwa mawasiliano 0717556768.
 

Attachments

  • 1442674009520.jpg
    1442674009520.jpg
    11.8 KB · Views: 231
Kiafya mtu akipata mlo vizuri kila siku na kupitisha siku moja au tatu bila kupata haja kubwa basi ana tatizo hili.
Suuluhisho lipo tumia bidhaa za asili kuondoa tatizo ilo kabisa.
Zimetokana na
1.mizizi
2.matunda
3.magome ya miti
4.mazao ya bahari
faida ya bidhaa hii inarekebisha mfumo wa usagaji chakula.
Zinaponya ndani ya mda mfupi,pia kama unasumbuliwa na magonjwa mengine usisite kuwasiriana nami.
Napatikana 0717556768.popote zinakufikia.
 
Jamani naombeni msaa wenu kuhusu nini cha kufanya maana nina tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu inakia kipindi nakaa hadi siku tano sita.

Naombeni utatuzi wa tatizo hili.
Hilo tatizo linatibika
Pata dawa iliyotengenezwa kwa alov vela
Kwa dozi ya mwezi kwa muda wa miezi mitatu

Tuwasiliane +255( 0)714 206306

Asanteni.[/QUOE]
 
kula papai na kichane kimoja cha ndizi cha buku,angalizo fanya hivi ukiwa eneo lililo jirani na msalani,baada ya nusu saa utapata matokeo yake
 
Tiba inayorekebisha mfumo wa chakula mwilini na kupata choo siku zote ipo na inafanya kazi kuanzia masaa matatu for more info 0753491777
 
kula papai na kichane kimoja cha ndizi cha buku,angalizo fanya hivi ukiwa eneo lililo jirani na msalani,baada ya nusu saa utapata matokeo yake

akishindwa matokeo ya haraka ale tikiti maji sahani moja daily na anywe maji mengi au yoghurt kwa sana angalau asubuhi na jioni pia anahitaji tiba ya kurekebisha mfumo wa usagaji chakula kama imekuwa ni chronic constipation kuna dawa inaitwa herbolax ni ya magome ya kiasili ipo katika mfumo wa vidonge inatoka Malaysia ipo na inapatikana kwenye pharmacy nyingi mjini kama yupo dar itakuwa rahisi hata JD au OP ajaribu kuvipata vitamsaidia bei yake haizidi buku10.
 
akishindwa matokeo ya haraka ale tikiti maji sahani moja daily na anywe maji mengi au yoghurt kwa sana angalau asubuhi na jioni pia anahitaji tiba ya kurekebisha mfumo wa usagaji chakula kama imekuwa ni chronic constipation kuna dawa inaitwa herbolax ni ya magome ya kiasili ipo katika mfumo wa vidonge inatoka Malaysia ipo na inapatikana kwenye pharmacy nyingi mjini kama yupo dar itakuwa rahisi hata JD au OP ajaribu kuvipata vitamsaidia bei yake haizidi buku10.

mkuu hyo JD na OP ni pharmacy ?
 
KUKOSA CHOO KATIKA ELIMU YA AFYA ASILI :
Hili ni tatizo linalohusisha mfumo wa umeng’enyaji wa chakula ( Digestion system)

Digestion system huhusiana na Mifumo 2 , yaani Mfumo wa INI & NYONGO/ Liver & Gallbladder system , na mfumo wa TUMBO & BANDAMA / Stomach & Spleen system

Umeng’enyaji wa chakula huanzia mdomoni ambapo mtu ukimeza chakula kinaenda tumboni ambapo huchemshwa kwa kutumia alkaline or Gallbladder juice / Nyongo , baadaye virutubisho hufyonzwa kwa kutumia Bandama pamoja na utumbo mwembamba , virutubisho husafirishwa kwenye damu pamoja na Phlegm , kusambazwa kwenye Mifumo mbalimbali , pia mapafu ni bank ya kuhifadhi virutubisho na Phlegm

Sasa makapi ambayo yapo digested husukumwa na Mfumo wa Tumbo chini kwenye utumbo mpana ili choo kipatikane

KUKOSA CHOO :
Hutoka na Nishati kuwa dhaifu , kitaalamu asilia tunaita LG energy Stasis yaani Liver & Gallbladder energy stasis , yaani nishati ya mfumo wa Ini inakuwa haiko kwenye Smooth level ( Energy flow stuck ) hivyo kuathiri mfumo wa Tumbo kushindwa kusukuma makapi ya chakula chini kwenye utumbo mpana ,hivyo mtu hukosa choo kwa wakati

Hili tatizo sio zuri huweza kupelekea takataka kuzidi ( dampness toxin ) na kusababisha gallstone or Kidney stone , or Acid reflux, or Stomach dull pain !

TREATMENT PLAN:
1. We must Smooth Liver & Gallbladder system energy / Kulainisha nishati ya mfumo wa Ini & Nyongo

2. Ondoa taka na imarisha mfumo wa Tumbo

Na kama mtu atapata choo kigumu muda wote , basi tutahitaji Ku detox mfumo wa Ini strongly , na choo kinaporudi sawa , tutaendelea na plan ya kulainisha nishati kwenye Mfumo wa Ini , pamoja na kuimarisha mfumo wa Tumbo !

NB : Mfumo wa Ini ndio mfumo pekee unaodhibiti Nishati mwilini pia na kuwezesha mifumo mingine kufanya Kazi kwa usahihi !

Tuna dawa asili mbalimbali kulingana na hali ya kiafya ya mtu , wala usijali unaumwa nini , mwili wako utatuambia na wala sio vipimo vya maabara !
Dalili mwili unaonesha ndio tatizo lenyewe , so kama Natural health Practitioner lazima ujue kuongea na mwili / Symptoms.
[emoji120][emoji120][emoji120]
IMG_2362.jpg
 
Back
Top Bottom