Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hamas wamejiandaa miaka 20 kufika hapoLakini mbona moto wa Hamas ni mkali sana wakati wamefungiwa kuanzia nchi kavu, baharini na angani?
Hii imefanya wacha-mbuzi na wacha-ng'ombe wa humu jukwaani kuufyata. Maana kila siku ilikuwa maneno, ooh Russia hamna kitu, mara oooh ingekuwa USA/Israel ni wiki moja tu. Sasa yako wapi.Ndio ujiulize, tena wamefungiwa kwa miaka 17 lakini taifa leule na jeshi bora dunia linaumbuka mchana kweupe
Wee mpumbafu, Wagner waje Tanzania?au wewe una nchi nyingine ya kukimbilia au wewe sio mtanzania?Hao WAGNER ingefaa wapige kambi Tanzania angalau kwa miezi 6 tu
Wamewapiga NATO vibaya sana hapo Bhamut. Unakumbuka zelensk alisema wakishindwa kuilinda bhamut wameshindwa vita? Ikapelekea NATO nguvu zote wazipeleke bhamut na kilichowapata imebaki historiaHao Wagner wamewahi kumpiga nani.
Mwehu weweSababu kubwa ni moja tu, Hamas wana ngao za binadamu (human shields) ndani ya mashimo, yaani wale mateka. Bila hivyo mahandaki yote yangeshalipuliwa, kufukizwa sumu au kujazwa maji kitambo
Moja kati ya vita ya hovyo ni kupambana na adui usiyejua Yuko wapi,anavizia mnatembea anarusha rpg anakimbilia shimoni au kwenye vifusi vya majengo uliyoyavunja wewe mwenyewe,hatumii kifaru Wala gari ogopa sana+anaamini furaha yake ya kuishi ni mbinguni ambako familia imetangulia muogope mtu huyoHizi propaganda tu, Hamas wanarekodi kila kitu hii vita ipo live kila tukio lina video, sijaona hata sehemu moja wakitumia watu, ni skilss tu za IDF ni ndogo wanauliwa kizembe sana, unakuta wapo uwanjani wamerundikana kibao ama wanatembea tu mtaani bila shield wanadunguliwa na snipers.
Mbona wewe ndiyo mwehu og..Mwehu wewe
RubbishWee mpumbafu, Wagner waje Tanzania?au wewe una nchi nyingine ya kukimbilia au wewe sio mtanzania?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hata ukraine ilikua ni sehemu tena sehemu muhimu tu ya ussr80% ya Jews wa Israel walihama kutoka Soviet ya Zamani ( Urusi ya sasa na maeneo ya mshariki ya ulaya).
Haiwezekani Russia ikaipiga Israel labda kuwe na tishio la moja kwa moja la usalaman wake
Ndo maana umeambiwa Labda kuwe na tishio la usalama la Moja kwa mojaHata ukraine ilikua ni sehemu tena sehemu muhimu tu ya ussr
Ila angalia inachokumbana nacho leo hii pale kivu[emoji3]
Unajuaje kama kupitia mgogoro unaoendelea hapo hauna tishio la moja kwa moja kwa Russia?Ndo maana umeambiwa Labda kuwe na tishio la usalama la Moja kwa moja
Propaganda tu hizo za masjid ubwabwa.Wamewapiga NATO vibaya sana hapo Bhamut. Unakumbuka zelensk alisema wakishindwa kuilinda bhamut wameshindwa vita? Ikapelekea NATO nguvu zote wazipeleke bhamut na kilichowapata imebaki historia
kwaniniHao WAGNER ingefaa wapige kambi Tanzania angalau kwa miezi 6 tu
aah wapi,vita ni vita mura...ukiwa na kila kitu unachukulia vitu rahisi sana,hapo wamekutana wanafunzi wa UDSM na VETA wajanja wanajua nachomaanishaSababu kubwa ni moja tu, Hamas wana ngao za binadamu (human shields) ndani ya mashimo, yaani wale mateka. Bila hivyo mahandaki yote yangeshalipuliwa, kufukizwa sumu au kujazwa maji kitambo
Hamas wameshindwa vita hakuna kitu 85pc ya Gaza IPO na IdfLakini mbona moto wa Hamas ni mkali sana wakati wamefungiwa kuanzia nchi kavu, baharini na angani?
Gaza ya wapi hio ipo 85pc kwa idf [emoji3][emoji1787][emoji3]Hamas wameshindwa vita hakuna kitu 85pc ya Gaza IPO na Idf
Acheni kudanganyana moto upi anaopeleka wavaa vipedo hao gazaLakini mbona moto wa Hamas ni mkali sana wakati wamefungiwa kuanzia nchi kavu, baharini na angani?