DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wakuu,
====
katika kipindi hiki cha uchaguzi baadhi ya vyama vimekuwa vikigawa vyakula kama vile (Ubwabwa) vinywaji na zawadi zingine kama vitenge tisheti, baisketi, pikipiki kwa wananchi wanapopita kujinadi katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu uhalali wake, kwani kugawa vyakula na vinywaji inaweza kuonekana kama njia ya kuwashawishi wapiga kura kumchagua mgombea fulani na chama chake.
Je, kweli hii si sehemu ya mikakati ya kampeni zinazolenga kupata kura kwa njia isiyo ya haki? Jamii inapaswa kuwa makini na kuona tofauti kati ya kuwahudumia wananchi na matumizi mabaya ya rasilimali za kampeni na majukwaa ya kisiasa.