M Mkono Mmoja JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,359 Reaction score 6,568 Nov 17, 2024 #1 Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 17, 2024 #2 Mkono Mmoja said: Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo. Click to expand... Walipwe na nani??
Mkono Mmoja said: Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo. Click to expand... Walipwe na nani??
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Nov 17, 2024 #3 Hilo jengo lina Insurance?
M Mkono Mmoja JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,359 Reaction score 6,568 Nov 17, 2024 Thread starter #4 Yoda said: Walipwe na nani?? Click to expand... uzembe wa mwenye jengo