Hizbu Sharifu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 480
- 978
Aisifiae mvua imemnyea.JE WAIJUA NGUVU YA MVUA
♦️Unajua mvua ni BARAKA ?
♦️Mvua haishukii ardhi pekee bali inashuka na kwenye nafsi pia
♦️Mvua husafisha husda
♦️Unajua kua mvua inaweza kusikia?
♦️Unajua mvua hubeba dua zako? Omba kwa sanna ukiwa ndani ya mvua
♦️Mvua husafisha huzuni zako.
♦️Mvua huosha kile ambacho hakionekani kwa macho.
SIKIA Inaponyesha mvua kaa ikunyeshee hata kwa dakika mbili usiikinbie, MVUA ni dawa kubwa sana ya mambo mengi
WAZEE WETU WAMETUACHIA HIZI DHANA NA TUNAZIFANYIA KAZI IKIWA UNATAKA USHAHIDI WA KISAYANSI HAPANA SINA MANA WANASAYANSI HATA MUNGU WAMEKANUSHA UWEPO WAKEThibitisha
Sio wana sayansi , nipe tu hakika ya uwepo wa huyo Mungu 🤔WAZEE WETU WAMETUACHIA HIZI DHANA NA TUNAZIFANYIA KAZI IKIWA UNATAKA USHAHIDI WA KISAYANSI HAPANA SINA MANA WANASAYANSI HATA MUNGU WAMEKANUSHA UWEPO WAKE
Mimi na mvua ni ndugu. Ile mvua ya saa kumi yote imeishia mwilini mwangu. Alfajiri yote Ile nikimshukuru muumba kwa kujibu maombi yangu yoteJE WAIJUA NGUVU YA MVUA
♦️Unajua mvua ni BARAKA ?
♦️Mvua haishukii ardhi pekee bali inashuka na kwenye nafsi pia
♦️Mvua husafisha husda
♦️Unajua kua mvua inaweza kusikia?
♦️Unajua mvua hubeba dua zako? Omba kwa sanna ukiwa ndani ya mvua
♦️Mvua husafisha huzuni zako.
♦️Mvua huosha kile ambacho hakionekani kwa macho.
SIKIA Inaponyesha mvua kaa ikunyeshee hata kwa dakika mbili usiikinbie, MVUA ni dawa kubwa sana ya mambo mengi
Kwahiyo ile topic kwenye Geography Form 2 ya Rain Formation ilikuwa ni chai sio?JE WAIJUA NGUVU YA MVUA
♦️Unajua mvua ni BARAKA ?
♦️Mvua haishukii ardhi pekee bali inashuka na kwenye nafsi pia
♦️Mvua husafisha husda
♦️Unajua kua mvua inaweza kusikia?
♦️Unajua mvua hubeba dua zako? Omba kwa sanna ukiwa ndani ya mvua
♦️Mvua husafisha huzuni zako.
♦️Mvua huosha kile ambacho hakionekani kwa macho.
SIKIA Inaponyesha mvua kaa ikunyeshee hata kwa dakika mbili usiikinbie, MVUA ni dawa kubwa sana ya mambo mengi
AstaghfirullahSio wana sayansi , nipe tu hakika ya uwepo wa huyo Mungu 🤔
Thibitisha mangiAstaghfirullah
Kabla sijakupa uthibitisho naomba kufahamu mawazo yako kwanini unaamini hakuna mungu?Thibitisha mangi
Toa uthibitisho bila kujali chochote hivyo ndio vigezo vya kutoa kitu kwa uhakika.Kabla sijakupa uthibitisho naomba kufahamu mawazo yako kwanini unaamini hakuna mungu?
Sawa' Mmungu kwenye quran anasena "Toa uthibitisho bila kujali chochote hivyo ndio vigezo vya kutoa kitu kwa uhakika.
Safi sana hili halihitaji logic kuelewa , hivyo basi nakuunga mkono wewe uamini tu hivyo.Sawa' Mmungu kwenye quran anasena "
Qur'an:
“Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na mabadiliko ya usiku na mchana, zipo ishara kwa wenye akili.”
— [Qur’an 3:190]
👆Mwisho anamalizia kwa wenye akili hivyo napata wasi wasi kua kama kweli wewe unaakili sawa sawa kutoziona ishara za kuwelo kwa mungu
Kazi imeanza ghafla tu keshampiga mtu roba ya shingo...Sio wana sayansi , nipe tu hakika ya uwepo wa huyo Mungu 🤔
Fafanua masterKazi imeanza ghafla tu keshampiga mtu roba ya shingo...
Wewe unajua kusoma code ushatuulia mtu...Fafanua master
😅😅😅 kaka sijui kwanini wewe ni kati chawa wa kijana ninao wakubali🤣Wewe unajua kusoma code ushatuulia mtu...