Kama hauifahamu sera halisi ya CCM ambayo inatekelezwa kwa vitendo ni hii hapa "
... mpaka sasa wanaendelea kudanganya wananchi kwamba sera ya CCM bado ni ya Ujamaa na Kujitegemea (Nyerere, 1993, p. 28)".
Mfano elimu bule haiwezekani!!!!! Kuomba omba tu nje ya nchi!!!!!