Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Hakuna lugha ambayo haijachukua maneno kutoka lugha nyingine, kiswahili kimechukua maneno ya kiarabu lakini katika hayo maneno katika matumizi ya kiswahili hakuna herufi Q na hi ndio hoja ya mdau
Matumizi yapo na ndio maana inatumika herufi Q kwenye neno Qur'an, kinachoangaliwa unataka kutengeneza sound gani hapo ndio utajua hiyo sound ipo kwenye kiswahili au haipo.
 
Mbona hujabadilisha chochote ..sema kuyasoma makoroni inabidi uwe Na roho ngumu...huogopi kukabwa Na majini usiku?
Nilichobadilisha ni jinsi gani mnavyotoa aya nje ya kusudio lake ili mpate kukidhi utashi wa chuki zenu kwa uislamu wa waislamu.
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
 
Matumizi yapo na ndio maana inatumika Q kwenye Qur'an, kinachoangaliwa unataka kutengeneza sound gani hapo ndio utajua hiyo sound ipo kwenye kiswahili au haipo.
Mzee ukishaweka Q hicho sio Kiswahili...tatizo kusoma Na kuandikia ulijifunzia madrasa ndo tatizo
 
Hamna kitu Ni yaleyale Tu...hamna Cha nje ya kusudio wala nini...wanaofata Uislam wa Kweli Ni ISIS Na Boko Haram basi
 
Matumizi yapo na ndio maana inatumika Q kwenye Qur'an, kinachoangaliwa unataka kutengeneza sound gani hapo ndio utajua hiyo sound ipo kwenye kiswahili au haipo.
Kiswahili hakuna neno Q, hiyo Qur'an unayoisema wewe ni jina la kiarabu sio kiswahili
 
Mkuu unachokosea ni kufikiri kila andiko kwenye vitabu vya dini lina pingwa na atheists
Tuache huko KakaMkubwa... Mimi najua wapinga maandiko ya dini wapo katika makundi kadhaa ila nilichokuwa nimeshangaa ni wewe kuandika sentensi inayosema "...maandiko yanasema..." tena umeandika kwa nidhamu kabisa wakati nakujua wewe ni team kiranga ndomana nikasema/nikahoji maandiko yapi halafu nikamalizia kwa kutaja kipande cha wasifu wako
 
Kiswahili hakuna neno Q, hiyo Qur'an unayoisema wewe ni jina la kiarabu sio kiswahili
Sijasema Qur'an ni neno la kiswahili na hata ukitumia hiyo herufi K bado haijafanya hilo neno kuwa la kiswahili, nazungumzia sound.
 
Mzee ukishaweka Q hicho sio Kiswahili...tatizo kusoma Na kuandikia ulijifunzia madrasa ndo tatizo
Kwanza hatuzungumzii neno la kiswahili hapa, Qur'an si neno la kiswahili hata ukiweka hiyo K.
 
Ndio maana nikakuuliza waislamu walishawahi kudai kuwa Facebook ilishazungumziwa kwenye Qur'an? unaniambia waislamu wanasema Qur'an haijaacha kitu,ndio nikakuuliza haijaacha kitu katika vitu gani au huo msemo una maana gani?
acha kuzunguka Mbuyu.
ikiwa dai la kutoacha kitu halikumaanisha vitu vyote, niambie nielewe.

mnaposema haikuacha kitu uwa mnakusudia vitu gani/vipi hasa? na vilivyoachwa kwa mujibu wako wewe ni vipi? ebu vitaje
nivijue.

ikwa ni fb na tik tok ndiyo vitu pekee VILIACHWA niambie tu kuwa:, Fb na tik tok hazimo kwenye list ya Qur'an.. ni hivyo tu simple and clear.

ama
ikiwa unatafuta pa kutokea acha kunikot uendelee na mambo mengine sio kujizungusha na kujaza saver za jf.

dai lipo wazi kuwa Qur'an haijaacha kitu na ili sijalisema mimi, linasemwa na waumini wenzio.
ikiwa kuna upotoshaji waulize wanaosema hivyo.
 
Sijasema Qur'an ni neno la kiswahili na hata ukitumia hiyo herufi K bado haijafanya hilo neno kuwa la kiswahili, nazungumzia sound.
Ni neno la kiswahili, sijazungumzia maana

Ni sawa "kiingereza" ni neno la kiswahili linalotofautisha neno "English" lakini kimaana yote ni sawa
 
Kwanza hatuzungumzii neno la kiswahili hapa, Qur'an si neno la kiswahili hata ukiweka hiyo K.
Sasa huyo mwenzako alikuwa anafosi Q Ni Kiswahili....kwahyo Quran haina Kiswahili chake? Haziwezi kutafsiriwa kulegea kwenye Kiswahili kama bible/biblos to Biblia?
 
Ebu mtupie majini mawili apo sheikh yamfunze adabu....Tena mtupie Jini Makata Na Jini Muhamad
Hili kafiri linazidi chuki kwa waislamu jiangalie sana umesikia sio unamkejeli mtume
 
Kwanza hatuzungumzii neno la kiswahili hapa, Qur'an si neno la kiswahili hata ukiweka hiyo K.
Kwahyo Kiswahili cha Quran ni Nini?
Shirt Kwa Kiswahili Ni Shati
Quran kwa Kiswahili Ni koroani
 
Ndio nikakuambia huna maarifa,neno madrasa ni kwa kiarabu,kwa kiingereza ni school,kwa Kijerumani ni Sule(shule inatakiwa),Kiswahili hatuna neno letu.Rufi shule,ukajifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu mtupie majini mawili apo sheikh yamfunze adabu....Tena mtupie Jini Makata Na Jini Muhamad
Mambo kama haya mungu mwenyewe anajua cha kumfanya ila ningekuwa na uwezo wa kumkamata huyu nishampija mapanga
 
Hapana we ndo hujaelewa, hatuongelei alphabet ya source tunaongelea product ya lugha husika, kwenye kiswahili tuna neno q?
Q sauti yake huwa ni K.Hutokea nyingi pamoja na U kama Qu kwa sauti za KU ,KW,au KV.Hutumiwa pia kwa sauti ya (qaf) au K ya shingoni ya kiarabu kama vile Qatar,ikiandikwa kwa alfabet za kilatini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefafanua vizuri,lakini hii unataka mtu ambaye,hana majibu yake mfukoni.Maelezo yako uwazi,na yanaweleweka hata kwa mtoto wa darasa la kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimesema hivo?? Embu acha kukimbia maswali yangu
Wewe unauliza jibu.Nimeshakuambia uislamu uko tofauti na dini zote,unazozijuwa na usizozijuwa,uislamu haujakataza TIBA ya aina yoyote.Imetoa Amri kabisa,kuwa ukiumwa ujitibu,ndio ukaona kuna TIBA za dawa za kiislamu,maduka mengi utakutwa yanauzwa dawa hizo za kienyeji za kiislamu,wauzaji ni waislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…