Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Imani inapitwa na wakati..na mbona kuvitumia vitabu vya torati kama vimepitwa na wakati..si viondolewe visitumike.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mzee ukishaweka Q hicho sio Kiswahili...tatizo kusoma Na kuandikia ulijifunzia madrasa ndo tatizo
Q ni Kiswahili,huwa inatamkwa kwa K.Kutokana na waswahili wengi kushindwa kuitamka Q,huwa wanaitamka K.Ni kama ulivyo wapo waswahili wanashindwa kutofautisha baina ya L na R,na Dha na Za na Tha na Sa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja mfu kabisa hii..tamaduni za waarabu zinakutesa for the sake of dini..hao walijifunika ili mchanga wa jangwani usiwaingie puani na machoni..sasa niambie wewe wa kigoma kuna jangwa gani litakalo leta mchang puani na machoni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hoja mfu kabisa hii..tamaduni za waarabu zinakutesa for the sake of dini..hao walijifunika ili mchanga wa jangwani usiwaingie puani na machoni..sasa niambie wewe wa kigoma kuna jangwa gani litakalo leta mchang puani na machoni.

#MaendeleoHayanaChama
Ndio unavyodanganywa katika vijiwe vya Pombe za kienyeji.Sasa hivi wewe unavyaa koti na surual,huvai kijitambaa cha kujifunika sehemu nyeti kama Babu zetu na bibi,ni kuwa utamaduni wa wazungu kwenye baridi kuvyaa suruali na koti,ndio umeiga kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila Dini iko tofauti Na Dini zingine...bado hujajibu maswali
 
kuhusu makatazo ya kula paka na mbwa ni mafundisho ya mtume sio aya
Mtume ametufundisha kua tusile wanyama ambao wanapata chakula chao kwa kutumia kucha
mfano. simba,chui,paka na mbwa na wengineo
sawa, kwahiyo kuna ushahidi wa hadithi sio aya.
 
Q ni Kiswahili,huwa inatamkwa kwa K.Kutokana na waswahili wengi kushindwa kuitamka Q,huwa wanaitamka K.Ni kama ulivyo wapo waswahili wanashindwa kutofautisha baina ya L na R,na Dha na Za na Tha na Sa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Q kwenye kamusi ya Kiswahili....haya ndo madhara ya kusoma chekechea Madrassa
 
Umeongea ukweli mtupu..ila na nyie huko kwenye ibada muache mara moja kuongea na kuwasema kwa ubaya walevi na wasio fuata mafundisho yenu ya dini zenu..kwani mnapungukiwa nini..ishini maisha yenu kama hataki kusemwa msiseme na wengine.

Anyway nguruwe kakatazwa vitabu vyote hili halipingiki..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kila Dini iko tofauti Na Dini zingine...bado hujajibu maswali
Dini karibia zote,duniani zina tofauti ila uislamu,waislamu jambo moja,Kati mengi,ujuwe utofauti,waislamu wote wa dhehebu lolote,wote wanakwenda Maka kuhiji,tarehe mda na matendo wanayokwenda kufanya kiibada yanafanana,hakuna dini duniani,wanayokwenda kufanya ibada sehemu moja,kwa madhehebu yao yote.Hiyo ni Hija tu,wacha na mengine mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumizi yapo na ndio maana inatumika herufi Q kwenye neno Qur'an, kinachoangaliwa unataka kutengeneza sound gani hapo ndio utajua hiyo sound ipo kwenye kiswahili au haipo.
Ni koroani.hakuna Q kwenye maneno ya kiswahili au X hazitumiki..huu utakua ni kiswahili kigeni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umefafanua vizuri,lakini hii unataka mtu ambaye,hana majibu yake mfukoni.Maelezo yako uwazi,na yanaweleweka hata kwa mtoto wa darasa la kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hawa ndugu zetu wanatengeneza vijihoja ambavyo wanataka watu wavielewe kwa jinsi ya kupindisha kwao baadhi ya aya, huenda wakawa wanajua ukweli au wanakopi na kupesti kutoka katika kazi za wapotoshaji, tatizo kuna watu maskini huwa wanafuata mkumbo tu wakiona andiko wanalimeza zimazima hao ndiyo wanatakiwa kuelimishwa na wakiwa wanataka kuelimika.
 
Hamna kitu Ni yaleyale Tu...hamna Cha nje ya kusudio wala nini...wanaofata Uislam wa Kweli Ni ISIS Na Boko Haram basi
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…