Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Kwani Shati inatamkwa Sawa Na shirt?Kinachofanya uandike koroani ni nini? maana hata utamkaji wake upo mbali na linavyotamkwa hilo neno Qur'an.
Lakini si tumeweka irabu Za Kiswahili ili ieleweke Shati Ni shirt sio lazima matamshi ya Kiswahili yakopi matamshi ya lugha zote ngeni ..mtajing'ata ulimi