Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
mm siwezi fuata dini zenye kufuata matamanio ya watu na wakayapuuza maamrisho ya MunguKama kusilim rahisihi silimu kuwa mkristu wewe basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm siwezi fuata dini zenye kufuata matamanio ya watu na wakayapuuza maamrisho ya MunguKama kusilim rahisihi silimu kuwa mkristu wewe basi
Dini yenu nzuri sana maana ulivyoandika huo Moto hauwasubiri.Ukishakuwa muislam Moto hauwahusu,Safi Sana.Wakristo bhna
mke akiwa kwenye hedhi nawe m.me unakua kwenye hedhi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
mke akijifungua nawe hauna budi kukaa likizo ya uzazi[emoji1][emoji1][emoji1]
Yani Uislamu kuruhusu wake wa4 Mungu ana maana yake nyinyi.Msipende kufuata matamanio yenu kisa unaona yanakufaa sehemu flani.M.me rijali haswaa hatoweza kuvumilia ayo ndo mana dini ya haki ikaamuru hivo.
M.ke ktka maisha yako anatakiwa awe mmoja tu ni mama ako tuu sasa nyie endeleeni na vifungo vya dunuani ivo huku mkisubiria Moto mkali mnoo.
Kula ni kula tu haijalishi kama umeshiba ama haujashibaNdio dini ya kiislamu inaruhusu kula nguruwe kwa ajili ya kuokoa maisha ya m.damu endapo hakuna chakula kwa wakati ule lkn asile kwa kushiba bali ale kwa kiasi tu ili asijepatwa na mauti
Kama mnamchukia nguruwe asiye na hatia, kwanini msijiulize busara na mantiki ya 'kuumbwa' kwake?Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
=====
Figo ya nguruwe iliyopandikizwa kwa binadamu mgonjwa yafanya kazi
![]()
Washington, Marekani (AFP). Nguruwe ni mnyama ambaye nyama yake inaliwa na baadhi ya jamii, huku nyingine zikiiepuka kutokana na sababu za kiimani, na sasa timu ya madaktari nchini Marekani imeongeza changamoto katika suala hilo baada ya figo ya mnyama huyo iliyopandikizwa kwa binadamu kuonekana inafanya kazi.
Mafanikio ya majaribio hayo yamesifiwa na madaktari waliofanya upasuaji huo kuwa ni "uwezekano wa miujiza".
Upasuaji huo uliofanyika Septemba 25, ulihusisha mnyama huyo mtoaji figo aliyefanyiwa marekebisho, na mgonjwa ambaye ubongo wake ulishakufa na ambaye alikuwa katika mashine ya kupumulia.
Familia ya mgonjwa huyo iliruhusu kufanyika kwa upasuaji huo wa siku mbili, kwa lengo la kuendeleza sayansi.
"Ilifanya kile ilichotakiwa kufanya, ambacho ni kuondoa uchafu na kutengeneza mkojo," Robert Montgomery, mkurugenzi wa taasisi ya upandikizaji katika Chuo Kikuu cha New York (NYU) Langone, aliiambia AFP katika mahojiano.
Kiungo hicho cha nguruwe kiliweza kupunguza kiwango cha molecule creatinine, uchafu unaochujwa kutoka kwenye damu na kutolewa nje ya mwili kwa njia ya mkojo, kitu ambacho ni ishara muhimu ya afya ya figo kwa mgonjwa.
Advertisement
Montgomery alifanya upasuaji huo na wenzake kadhaa katika muda wa karibu saa mbili.
Waliunganisha figo hiyo ya nguruwe na mishipa ya damu juu ya miguu ya mgonjwa, ili kuwawezesha kuifuatilia na kuchukua sampuli.
Mgonjwa huyo alikuwa ametaka kuwa mtoaji wa kiungo na awali familia yake ilifadhaishwa ilipoambiwa kuwa kiungo cha mpendwa wao hakikuwa kinafaa, alisema Montgomery.
Lakini "walijisikia ahueni fulani kwamba hili (la kujaribisha figo ya nguruwe kwa mgonjwa wao) ni fursa nyingine ya kutoa msaada," alisema.
Mgonjwa aliondolewa katika mashine ya kupumulia na akafariki baada ya saa 54 zilizofuata za kupima.
Utafiti wa awali ulionyesha kuwa figo za nguruwe zinafaa kutumika kwa viumbe ambavyo si binadamu kwa hadi mwaka mmoja, lakini hii ilikuwa ni mara ya kwanza zimejaribishwa kwa binadamu.
Nguruwe aliyetolewa figo ni miongoni mwa mifugo iliyopitia mchakato wa marekebisho ya kuondoa jini ambazo huzalisha sukari ambayo ingeweza kusababisha kingamwili za binadamu kuhamaki na kukikataa kiungo hicho.
Chanzo: Mwananchi
Hicho kiasi hakikutolewa Mwongozo!😂😂Ndio dini ya kiislamu inaruhusu kula nguruwe kwa ajili ya kuokoa maisha ya m.damu endapo hakuna chakula kwa wakati ule lkn asile kwa kushiba bali ale kwa kiasi tu ili asijepatwa na mauti
kubishana na asiekua na Uislamu ni kujipotezea muda hlf utanishinda tuu mna ww utakua hujui ata unaloliongea unaongea ilimradi umeongea tu.Kula ni kula tu haijalishi kama umeshiba ama haujashiba
We sbr ukifa ndo utajuaDini yenu nzuri sana maana ulivyoandika huo Moto hauwasubiri.Ukishakuwa muislam Moto hauwahusu,Safi Sana.
Kwa hiyo ikitokea kwamba kula nyama ya mudi ni tiba utakula bwana ustaadh???Koroani haijaacha kitu,
Mapadri wanajua hili fika ndio maana wametulia tu kwa kuwa wanasoma vitabu vyote,
Imetoa maelezo ya kutosha tu nini cha kufanya inapotokea hivyo,koroani sio ya mchezochezo ndugu
Mbele ya uhai hakuna haramu wala halaliTafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
=====
Figo ya nguruwe iliyopandikizwa kwa binadamu mgonjwa yafanya kazi
![]()
Washington, Marekani (AFP). Nguruwe ni mnyama ambaye nyama yake inaliwa na baadhi ya jamii, huku nyingine zikiiepuka kutokana na sababu za kiimani, na sasa timu ya madaktari nchini Marekani imeongeza changamoto katika suala hilo baada ya figo ya mnyama huyo iliyopandikizwa kwa binadamu kuonekana inafanya kazi.
Mafanikio ya majaribio hayo yamesifiwa na madaktari waliofanya upasuaji huo kuwa ni "uwezekano wa miujiza".
Upasuaji huo uliofanyika Septemba 25, ulihusisha mnyama huyo mtoaji figo aliyefanyiwa marekebisho, na mgonjwa ambaye ubongo wake ulishakufa na ambaye alikuwa katika mashine ya kupumulia.
Familia ya mgonjwa huyo iliruhusu kufanyika kwa upasuaji huo wa siku mbili, kwa lengo la kuendeleza sayansi.
"Ilifanya kile ilichotakiwa kufanya, ambacho ni kuondoa uchafu na kutengeneza mkojo," Robert Montgomery, mkurugenzi wa taasisi ya upandikizaji katika Chuo Kikuu cha New York (NYU) Langone, aliiambia AFP katika mahojiano.
Kiungo hicho cha nguruwe kiliweza kupunguza kiwango cha molecule creatinine, uchafu unaochujwa kutoka kwenye damu na kutolewa nje ya mwili kwa njia ya mkojo, kitu ambacho ni ishara muhimu ya afya ya figo kwa mgonjwa.
Advertisement
Montgomery alifanya upasuaji huo na wenzake kadhaa katika muda wa karibu saa mbili.
Waliunganisha figo hiyo ya nguruwe na mishipa ya damu juu ya miguu ya mgonjwa, ili kuwawezesha kuifuatilia na kuchukua sampuli.
Mgonjwa huyo alikuwa ametaka kuwa mtoaji wa kiungo na awali familia yake ilifadhaishwa ilipoambiwa kuwa kiungo cha mpendwa wao hakikuwa kinafaa, alisema Montgomery.
Lakini "walijisikia ahueni fulani kwamba hili (la kujaribisha figo ya nguruwe kwa mgonjwa wao) ni fursa nyingine ya kutoa msaada," alisema.
Mgonjwa aliondolewa katika mashine ya kupumulia na akafariki baada ya saa 54 zilizofuata za kupima.
Utafiti wa awali ulionyesha kuwa figo za nguruwe zinafaa kutumika kwa viumbe ambavyo si binadamu kwa hadi mwaka mmoja, lakini hii ilikuwa ni mara ya kwanza zimejaribishwa kwa binadamu.
Nguruwe aliyetolewa figo ni miongoni mwa mifugo iliyopitia mchakato wa marekebisho ya kuondoa jini ambazo huzalisha sukari ambayo ingeweza kusababisha kingamwili za binadamu kuhamaki na kukikataa kiungo hicho.
Chanzo: Mwananchi
Mimi siyo Mwanazuoni.
Sasa ndugu Mwislamu Moyo ukifeli ni bora ufe au uwekewe moyo wa nguruwe ?Kinachokatazwa sio kula tu nyama hata kumfuga hairuhusiwi.
Sasa Kwanini msiwafuge kabisa ili waweze kuwasaidia ktk matibabu??.Koroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.
Wabilahi tawfiq