Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
We endelea kuamini tu ivo ivo utajua ukweli siku utakayokufa m sikulazimishi kuufuata uislamuNarudia tena Mungu hakuwahi kuanzisha dini bali iwatuma manabii mbali mbali na kwa nyakati mbalimbali wawafundishe watu kadiri ya mapenzi yake. Sasa hivi watu wamepotoka wanafuata masharti yaliyowekwa na hivyo vikundi na kuacha maelekezo ya Mungu ambayo ni mawili tu . 1.KUMPENDA MUNGU 2. KUMPENDA BINADAMU