Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Adam and Hawa ni hadithi za kusadikika hakuna ushahidi wa kuwepo kwa watu hao.Kama kuna mwenye ushahidi alete.
Na kwa nn shetan awe rang nyeus na malaika awe rangi nyeupe??
We ndio ktk wale wenye kuamini kuwa Nyani ni binam zako au sio?
Umaskini wa elimu mbaya sana.
Kafe mbele hapa unajaza uharo tu.
Niambie wewe unaefuatilia mambo, nini kilichotokea mpaka leo tukapata akina wazungu na akina wachina kama walikua weusi?
naomba sura,versebinadamu wa kwanza kuumbwa na mungu alikuwa adam according to our bible but haijaonyesha alikuwa na rangi gani..hizo picha zinaozonyesha weupe walitengeneza wazungu walipotuletea hiyo dini..
according to bible history wanadam walipozidi kuongezeka duniani na kufanya maovu mungu akajuta kwann alimuumba binadamu akapanga kuwakatilia mbali bt nuhu pekee akapata kibali machoni pa mungu.baada ya gharika nuhu akabaki na watoto wake watatu shemu(mweuc),hamu(mwekundu) na japhet(mweupe).
Na kama hawakuwepo?Whose business?ninachotakiwa kujua kuwa kulikua na Adamu na Eva
walikua wakijani wa njano...
non of our business[emoji41][emoji41]
Asee wee nomaAdam na Eva walikuwa wa kijani
Umejuaje kua shetani ana rangi nyeusi,ebu tueleze na sis mkuuNa kwa nn shetan awe rang nyeus na malaika awe rangi nyeupe??
Brain wash za wazungu tu hizo kutufanya tujichukie sie weusiNa kwa nn shetan awe rang nyeus na malaika awe rangi nyeupe??
Hili swali anae weza kulijibu atatusaidia pia kutwambia kwanini kue kuna mgawanyiko wa rangi za wanadamu kama asili yetu ni moja?
Weupe/wazungu
Wekundu/wachina/waarabu/wahindi
Weusi/waafrika
Pia kinacho changanya kabisa hawa weusi hawa wanaonekana kama hawana mahusiano ya kiasili na hizi rangi nyingine!
Ebu mnaofahamu mtueleze maana tumetafta sources mpaka tumechoka, kwenye imani tunaishia kuambiwa kua ndio mapenzi ya mungu ili tupate kufahamiana..
Karibu..