Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Hold on, yaani Mungu alijuta kumuumba binadam? Si dini zinatuambia kuwa Mungu ni mjuzi, anajua vyote kabla hajatuumba? Anajua kesho yetu? Anajua matendo yetu? Iweje tena ajute? Kumbe hajui kesho yetu?according to bible history wanadam walipozidi kuongezeka duniani na kufanya maovu mungu akajuta kwann alimuumba binadamu akapanga kuwakatilia mbali.