Distant Relatives JF-Expert Member Joined Nov 21, 2020 Posts 415 Reaction score 731 Apr 18, 2021 #81 Desire Dizaya said: according to bible history wanadam walipozidi kuongezeka duniani na kufanya maovu mungu akajuta kwann alimuumba binadamu akapanga kuwakatilia mbali. Click to expand... Hold on, yaani Mungu alijuta kumuumba binadam? Si dini zinatuambia kuwa Mungu ni mjuzi, anajua vyote kabla hajatuumba? Anajua kesho yetu? Anajua matendo yetu? Iweje tena ajute? Kumbe hajui kesho yetu?
Desire Dizaya said: according to bible history wanadam walipozidi kuongezeka duniani na kufanya maovu mungu akajuta kwann alimuumba binadamu akapanga kuwakatilia mbali. Click to expand... Hold on, yaani Mungu alijuta kumuumba binadam? Si dini zinatuambia kuwa Mungu ni mjuzi, anajua vyote kabla hajatuumba? Anajua kesho yetu? Anajua matendo yetu? Iweje tena ajute? Kumbe hajui kesho yetu?