Je, wajua Akili Mnemba inaweza kutengeneza mazungumzo ya Ujumbe mfupi na kupotosha Uhalisia?

Je, wajua Akili Mnemba inaweza kutengeneza mazungumzo ya Ujumbe mfupi na kupotosha Uhalisia?

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp?

Je, umewahi kujiuliza kuhusu Uhalisia wake?

Usiwe mwepesi wa kuamini maudhui kama hayo kwani teknolojia ya Akili Mnemba inaweza kutengeneza mazungumzo yaliyo katika ujumbe mfupi na kupotosha Uhalisia wa waliohusishwa katika jumbe hizo.
 
Hiyo akili mnemba inafanya yenyewe bila agizo la mtu ama inakuwaje toa maelezo kwa kina.....
 
Back
Top Bottom